ANETH KUSHABA ambaye ni meneja wa band ya skylight akiwa jukwaani akiwaburudisha watu mbalimbali
Hatari iko hapa SKYLIGHT
wapiga vyombo wakiwa wameshikilia vifaaa kwaajiri ya kuwa burudisha wahudhuriaji usiku huu
Meza hii ni watu walio fika na cake kwaajiri ya kumpongeza mwenzao mwenyewe leo ni siku yake ya kuzaliwa.