Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

UPDATES: AJALI YAUWA WAWILI MKATA

$
0
0
Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi Asubuhi ya leo.
Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili pamoja na Kujeruhi abiria 10.Ajali hiyo imetokea Muda mchache uliopita katika Eneo la Mkata na Goba  Barabara Kuu ya Chalinze Segera.

Chanzo Itv

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>