TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA MKOANI...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Jaji Mstaafu Damian Lubuva akifafanua jambo kwa msisitizo kuhusia na maandalizi ya mwisho ya Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga,unaotarajiwa kufanyika Machi...
View ArticleBREAKING NEWS: MAJAMBAZI WANASWA WAKIJIANDAA KUFANYA UHALIFU ENEO LA MBAGALA...
MAJAMBAZI wawili waliokuwa kwenye pikipiki yenye namba za usajili T 225 CQC aina ya Kapor wamekamatwa wakiwa na silaha wakijiandaa kufanya uhalifu katika kituo cha kuuza mafuta cha Oilcom kilichopo...
View ArticleBREAKING NEW: KITI CHA MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA CHAKALIWA NA MH. SAMWELI...
Aliekuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel Sitta (aliyesimama) ameshinda nafasi hiyo kwa kura 469 dhidi ya mpinzani wake,Mh. Hashim Rungwe katika uchaguzi...
View ArticleWAENDESHA BODABODA, BAJAJ NA WAFANYABIASHARA SASA KUONDOLEWA KWENYE MAENEO...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Mecki Sadiki akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kutoa agizo kwa viongozi na watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha kuwa wanawaondoa...
View ArticleHAKUTAKUWA NA HOTUBA YOYOTE KWENYE SHEREHE ZA UFUNGUZI WA KOMBE LA DUNIA...
Sepp Blatter (kushoto) na Dilma Rousseff (kulia) walizomewa na mashabiki katika mechi ya Brazil vs Japan, June mwaka jana Shirikisho la soka duniani, FIFA, limetangaza kuwa hakutakuwa na hotuba yoyote...
View ArticleUPDATES: KIVUKO CHA MV. MAGOGONI CHAPATA TATIZO LA GHAFLA USIKU HUU
Taarifa ya Uhakika iliyotufikia hivi punde kwenye mtandao huu ,inaeleza kuwa Kivuko cha Mv. Magogoni kinachovusha watu na mali zao kutoka Magogoni - Kigamboni jijini Dar es Salaam, kimepatwa na kwikwi...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS MARCH 13, 2014
Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi ZanzibarENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZILIZOCHEZWA JANA JUMATANO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleDAR KUSAHAU SHIDA YA MAJI
Mafundi wakiendelea kulaza mabomba yatakayotumika kusafirishia maji kutoka Mitambo ya Maji ya Ruvu Chini mpaka kwenye Tanki la kuhifadhia maji lililopo Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar es Salaam. Mpaka...
View ArticleHAYA NDIO MAMBO NANE(8) AMBAYO HUTAKIWI KUYASEMA KWENYE VIKAO
Kama unaingia kwenye kikao, unatakiwa uonyeshe uwezo wako wa kuchangia ili mambo yaende vizuri na kuwa bora zaidi, usiongee vitu vya kukatisha tamaa au visivyokua na tija.1. Ngoja nikupe rejea kuhusu...
View ArticleKIJANA JOACHM KAPINGA ANAOMBA MSAADA WA MATIBABU, MWALIMU AJITOA MSHAHARA...
Kijana Joachm Kapinga,(23) mkazi wa Mbinga Vijijini, amevujika miguu yake yote, alikuwa na wiki mbili Rukwa kusaka maisha kwa kwa kuwa mchuuzi wa samaki, yupo safarini kupelekwa Peramio na...
View ArticlePICHA YA LEO: HAPA WANAUZA MATUNDA NA MTI WAKE
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMMOJA MBARONI KWA KUKUTWA NA SILAHA TANO (5) AINA YA GOBOLE NA ZANA ZA...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime - SACPNa. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia mtu mmoja aliyekamatwa huko katika kijiji cha Nga’mbi...
View ArticleHII NDIO MIJI YA AFRIKA INAYOONGOZA KWA KUTWEET
Portland Communications imetoa orodha ya miji na majiji 20 yanayo-tweet zaidi barani Afrika katika utafiti waliouita ‘How Africa Tweets study’.Jiji la Johannesburg ndilo linaloongoza kwa geo-located...
View ArticleMLIPUKO WAUA WATU 6 NA KUJERUHI 74 NEW YORK NCHINI MAREKANI
WATU sita wamepoteza maisha wakati 74 wakijeruhiwa baada ya gesi kuvuja na kusababisha mlipuko ulioporomosha majengo mawili katika eneo la Manhattan Jijini New York, Marekani hapo jana! Majeruhi wote...
View ArticleASKARI MWENYE BIDII HATIMAYE AMEJISHINDIA MILLION MBILI
Kwa wale wapitao Mwai Kibaki Road zamani Old Bagamoyo Road watakuwa wanamjua Askari huyu ambaye amekuwa akijituma vilivyo pale darajani Mlalakuwa, Kawe.Askari huyu alikuwa akimbii mvua, yuko mapema...
View ArticleTAHADHARI YA MVUA MKUBWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA NCHI KUANZIA TAREHE 13...
TAHADHARI 13-03-2014Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleBREAKING NEWS: SAMIA SULUHU ASHINDA NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI BUNGE MAALUM...
Mhe.Samia Suluhu Hassan (anaye angalia kamera)akipongezwa na aliyekuwa mshindani wake Mhe Amina Abdalla Amour mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi.Hatimaye leo Bunge maalum la Katiba limemchagua...
View ArticleDALADALA ZINAZOELEKEA CHUO KIKUU CHA UDOM ZAGOMA KWA SAA NNE(4)
Wakazi wa maeneo ya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wakiwa wamejazana katika kituo cha Daladala cha Jamatini mjini hapa wasijue cha kufanya baada ya Madereva wa Magari hayo kugoma kwenda njia hiyo...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA MARCH 14, 2014
Ndugu msomaji wetu unaweza kutudhamini kwa kuweka tangazo lako kwenye blog hii ili tuendelee kukuabarisha habari mbalimbali hasa kwa hii ya vichwa vya magazeti au unaweza kutudhamini kwenye magazeti...
View Article