TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJIRA KWA WALIMU WAPYA MWAKA 2013/14
Jumla ya Walimu wapya 36,021 ambao wamehitimu mwaka 2013 kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini wataajiriwa rasmi na Mamlaka za Serikali za Mitaa (Halmashauri) ifikapo tarehe 01 Aprili 2014. Kati ya idadi...
View ArticleHOYCE TEMU AMONG TOP MISA'S WOMEN TO WATCH 2014
Hoyce Temu a communication specialist at the United Nations in Tanzania has been selected as one of the inspirational southern African women and a rising star in the region.Temu has been involved in...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZITAKAZOCHEWA LEO JUMANNE
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUNATAFUTA KUPENDWA NA WALE WANAOKUZUNGUKA? BASI SOMA HAPA
Ni moja ya mawazo na fikra ndani ya watu wengi, kama hujawahi kuwa kwenye hali hiyo ninaweza kusema una bahati. Kwanini watu hawanipendi? Ni swali ambalo mara nyingi kila mtu hujaribu kujiuliza labda...
View ArticleBREAKING NEWSS: BASI LA HOOD KUTOKA ARUSHA-MBEYA LAPATA AJALI ENEO LA SAME...
Basi la Kampuni ya Hood likiwa limepinduka na watu kuumia vibaya eneo la Same leo asubuhiBaadhi ya wasamalia wema wakiwaokoa abiria waliokuwa wamepanda basi hilo la hood lililokuwa linatoka Arusha...
View ArticleTAARIFA YA MSIBA NEW YORK NA TANZANIA
Mtanzania mwenzetu Mama Lulu John Maro Mwaluko amefariki dunia asubuhi ya siku ya Ijumaa tarehe 7 Machi 2014. Mama Mwaluko alikuwa akikaa Queens, New York na alishawahi kuwa mwalimu na alifundisha high...
View ArticleKAMPUNI YA GOOGLE YAKANUSHA PICHA YA GOOGLE MAP INAYOIONESHA NDEGE YA...
Kampuni ya google imekanusha habari zilizotapakaa kwenye mitandao mbalimbali duniani kwa kuweka picha ya Google Map ambayo inaonesha ndege ya Malaysia Airline ikiwa imedondondoka ndani ya maji. Msemaji...
View ArticleKIJIWE CHA UGHAIBUNI NA WADAU TOKA NEW YORK
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWATANZANIA WAHIMIZWA KUSOMA MAJARIDA MBALIMBALI ILI KUJIONGEZEA UFAHAMU
Cosmas Njingo-afisa habari na mawasiliano wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro akichangia mada. Zadock Kitomary-Mkulima bora mara mbili mfululizo katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru...
View ArticleGARI LA KUBEBEA TAKA LILILOACHWA KITUO CHA GEREJI BARABARA YA MANDELA LAWA...
Lori la kubeba taka likiwa eneo kituo cha gereji barabara ya mandela ,huku likiwa limebeba uchafu baada ya kuharibika na limekaa hapo siku mbili. ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI...
View ArticleCRISTIANO RONALDO NDIYE MCHEZAJI SOKA TAJIRI ZAIDI DUNIANI, ANA UTAJIRI WA £122M
Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji tajiri miongoni mwa wachezaji wa Ulaya baada ya ‘the annual Goal.com’s football Rich List’ kumtaja Ronaldo kuwa na utajiri wa paundi milioni...
View ArticleTASWIRA MBALIMBALI KWENYE BUNGE LA KATIBA LEO
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, William Lukuvi (kulia) akizungumza , Anna Abdallah (katikati) na Tundu Lisu wakizungumza , Bungeni Mjini Dodoma Machi 11, 2014. Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba...
View ArticleJESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LIMEWATIA MBARONI WATU NANE (8) KWA KUKUTWA NA...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma (RPC), David Misime - SACP Bangi zilizokamatwa katika msako huo uliofanywa na jeshi la polisi mkoani Dodoma. Zana za kuvunjia zilizokamatwa na jeshi la polisi mkoani...
View ArticleMAGARI YAKWAMA KWENYE BARABARA YA SOMANGA - NYAMWAGE MKOANI LINDI BAADA YA...
Msululu wa mabasi ya abiria na malori yakiwa hayajui hatma ya safari yao baada ya kukwama katika kijiji cha Sinza katikati ya Somanga - Nyamwage mkoani Lindi, kutokana na barabara wanayoitumia kupatwa...
View ArticleAKAMATWA NA MENO YA TEMBO 2 YENYE UZITO WA KILO 15 YA THAMANI YA SHILINGI...
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kativi, Dhahiri Kidavashari akionenyesha mbele ya waandishi wa habari Ofisi kwake meno ya tembo vipande 2 yenye thamani ya shilingi 22 hapo jana aliyokamatwa nayo mtuhumiwa...
View ArticleMAGAZETI TA LEO JUMATANO MARCH 12, 2014
Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi Zanzibar ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZILIZOCHEZWA JANA JUMANNE
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUNAPENDA KUPENDEZA KAZINI? HUU NI UVAAJI KWA WANAWAKE KIBIASHARA
Kama unakwenda kwenye Usaili au unahitaji kuonekana ni mtanashati eneo lako la kazi, namna ya uvaaji wako una matokeo makubwa wa jinsi watu wanavyokuchukulia na kukutizama. Katika kuvaa ni eneo ambalo...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMATANO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWABUNGE 40 CHADEMA KUTINGA KALENGA
Akizungumza kutoka mjini Dodoma, Mbowe alithibitisha kwamba ataongoza wabunge 40 wa chama chake kwenda Kalenga ili kuhakikisha chama hicho kinashinda uchaguzi huo mdogo.PICHA|MAKTABA Mwenyekiti wa...
View Article