Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

HII NDIO MIJI YA AFRIKA INAYOONGOZA KWA KUTWEET

$
0
0
Portland Communications imetoa orodha ya miji na majiji 20 yanayo-tweet zaidi barani Afrika katika utafiti waliouita ‘How Africa Tweets study’.Jiji la Johannesburg ndilo linaloongoza kwa geo-located tweets 344,215 ,l ikifuatiwa na mji mwingine wa Afrika Kusini, Ekurhuleni kwa tweets 264,172.


Cairo imeshika nafasi ya tatu 227,509 ikifuatiwa na Durban ya Afrika Kusini.
Kwa upande wa Afrika Mashariki jiji la Nairobi ndilo linaloongoza, huku likikamata nafasi ya sita katika top 20, huku Dar es salaam ikiwa kwenye nafasi ya 12 kwa tweets 22,581.
Portland ilifanya uchambuzi wa geo-located tweets za kutokea Afrika katika kipindi cha miezi mitatu ya mwisho wa mwaka jana (2013).

 ENDELEA KUSOMA MAKALA HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Pia matokeo ya utafiti huo yameonesha kuwa siku za Jumanne na Ijumaa ndio ambazo watu wengi hu-tweet kote ulimwenguni.

Hii ni orodha kamili
1. Johannesburg – 344,215
2. Ekurhuleni – 264,172
3. Cairo – 227,509
4. Durban – 163,019
5. Alexandria – 159,534
6. Nairobi – 123,078
7. Cape Town – 83,818
8. Accra – 78,575
9. Abidjan – 56,054
10. Douala – 51,441
11. Lagos – 44,392
12. Dar es Salaam – 22,581
13. Kano – 19,023
14. Ibadan – 13,703
15. Algiers – 12,317
16. Kinshasa – 10,201
17.Luanda – 7,312
18. Addis Ababa – 3,307
19. Dakar – 788

Source: Portland Communications

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>