TAZAMA HAPA VIDEO INAYOONESHA WAGANGA WA KIENYEJI WAKISAIDIA KUITAFUTA NDEGE...
Wakati ambapo China imepeleka angani satellite 10 kuitafuta ndege ya Malaysia Airlines iliyopotea, serikali ya Malaysia imewaomba waganga wa kienyeji kusaidia zoezi hilo.Mganga maarufu nchini humo...
View ArticleKUTANA NA DOREEN PETER NONI MJASIRIAMALI NA MBUNIFU WA MAVAZI NCHINI
Blog hii ya Tanzania hivi karibuni ilifanya mahojiano na Mjasiriamali na mbunifu wa mavazi nchini Doreen Noni aliyehudhuria mkutano wa Uchumi Duniani uliofanyika huko Davos, Uswisi (World Economic...
View ArticleTAARIFA KAMILI YA MTUMBWI ULIOZAMA MTWARA JANA MARCH 13 NA KUUA WATU 3
Taarifa kutoka Mtwara ambazo zimethibitishwa na jeshi la Polisi ni kuhusu Mtumbwi ambao umezama wakati ukivuka kutoka kitongoji cha Ng’wale kwenda ng’ambo ya pili ambapo ndiyo sehemu waliyokuwa...
View ArticleYA KWELI HAYA?
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUTAFITI: UTUMIAJI ULIOZIDI WA SIMU KWA WAZAZI HUPUNGUZA UKARIBU NA WATOTO WAO
Watafiti kutoka Boston Medical Centre wamebaini kuwa matumizi yaliozidi ya simu kwa wazazi hupunguza mapenzi kutoka kwa watoto wao.Katika utafiti waliofanya, waligundua kuwa mmoja kati ya wazazi watatu...
View ArticleBREAKING NEWSS::MADEREVA WA BODA BODA NA BAJAJ WAANDAMANA MPAKA OFISI ZA...
Madereva Bajaj wakiwa nje ya ofisi za chadema makao makuu kinondoni wakipinga tamko la kuzuiwa kuingia kati kati ya mji na maeneo ya mjini. Mmoja wa Madereva Bajaj Akiongea na vyombo vya habari mda...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU NA NAIBU KATIBU WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI...
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha Katibu na naibu katibu wa Bunge Maalum la katiba katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ndogo mjini Dodoma leo. Rais Jakaya Mrisho...
View ArticleHII NDIO TANZANIA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSAMWEL SITTA: NINALO JIBU LA KURA YA SIRI NA WAZI
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Sammuel Sitta amesema kuwa analo jibu la matumizi ya Kura ya Siri na Wazi katika kufanya maamuzi ndani ya vikao vya Bunge Maalum la Katiba. Akiongea na baadhi ya...
View ArticleMAJINA YA WATU WALIOITWA KAZINI KUTOKA SEKRETARIETI YA AJIRA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTASWIRA MBALIMBALI ZA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA WAKIAPISHWA LEO...
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Samwel Sitta akila kiapo mbele ya Katibu wa Bunge hilo Bw. Yahya Khamis Hamad, wakati wa hafla ya kuwaapisha wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo Mjini...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MARCH 15, 2014
Ndugu msomaji wetu unaweza kutudhamini kwa kuweka tangazo lako kwenye blog hii ili tuendelee kukuabarisha habari mbalimbali hasa kwa hii ya vichwa vya magazeti au unaweza kutudhamini kwenye magazeti...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI
ENDELEA KUTIZAMA MECHI NYINGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleAJALI YATOKEA WILAYANI MAKETE BAADA YA BASI KUTUMBUKIA MTONI
Basi la kampuni ya Japanese Express linalofanya safari zake kati ya Makete - Njombe likiwa limetumbukia mtoni mpakani mwa kata ya Lupalilo na tandala wilayani Makete mkoani Njombe.Katika ajali hii,...
View ArticleMISA YA SHUKRANI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWEST BROM YAMTIMUA NICOLAS ANELKA
Mchezaji wa klabu ya soka ya West Brom, Nicolas Anelka amefutwa kazi kwa kosa la utovu wa nidhamu.Klabu hiyo iliamua kuchukua hatua hiyo baada ya Anelka kutangaza kupitia mtandao wa kijamii kuwa...
View ArticleHIVI UNAJUA KUWA MWANAMKE HUPEVUKA KIAKILI MAPEMA KULIKO MWANAUME BASI SOMA...
Ukuaji wa ubongo wa mtoto wa kiume na wa kike ni tofauti sana. Msichana akili yake huanza kukua kumzidi wa mvulana ndani ya miezi mitatu ya mwanzo tangu kuzaliwa. Katika uchunguzi wa wazazi watagundua...
View ArticleRAIS WA KLABU YA BAYERN MUNICH AHUKUMIWA MIAKA 3 NA MIEZI 9 JELA KWA KUKWEPA...
Rais wa klabu bingwa ya Bayern Munich Uli HoenessMahakama nchini Ujerumani imemhukumu rais wa klabu bingwa Ulaya, Bayern Munich, Uli Hoeness, kifungo cha miaka mitatu na miezi sita jela kwa kukwepa...
View ArticleWAKAZI WA GOBA WALIA NA MIUNDOMINU YA DARAJA BAADA YA MTO MBEZI KUJAA NA...
Wakazi wa pembezoni mwa Mto Mbezi wakivuka mto kuelekea upande wa pili. Mto Mbezi unaotembea kuanzia Mbezi Kimara kupitia Makongo juu B mpaka Goba kuelekea Kawe hadi baharini, umekuwa tishio kwa wakazi...
View ArticleUTANI MWINGINE UNAWEZA KULETA TATIZO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View Article