Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

BREAKING NEW: KITI CHA MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA CHAKALIWA NA MH. SAMWELI SITTA

$
0
0
 
 Aliekuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel Sitta (aliyesimama) ameshinda nafasi hiyo kwa kura 469 dhidi ya mpinzani wake,Mh. Hashim Rungwe katika uchaguzi uliofanyika muda mfupi uliopita. Akitoa Neno la Shukrani mara baada ya kupata nafasi hiyo,Mh. Sitta amewashurukuru Wajumbe wote wa Bunge la Katiba kwa kuweza kumpa nafasi hiyo adhimu.Pia amempongeza mpinzani wake, Mh. Hashim Rungwe kwa kukubali matokeo hayo.
 Wajumbe wakipiga kura 
 Upigaji kura ukiendelea

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakimpongeza Mhe. Sitta kwa ushindi wake wa kishindo
Hongera sana sana....anaambiwa mshindi
Mikono ya pongezi yazidi kumiminika
Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge Maalum la Katiba mteule Mhe Samwel John Sitta akitoa neno la shukurani kwa Wajumbe kwa imani waliyoonesha kwake kwa kumchagua kwa kura nyingi kushika nafasi hiyo. Picha zote na Deusdedit Moshi, Dodoma.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>