Kijana Joachm Kapinga,(23) mkazi wa Mbinga Vijijini, amevujika miguu yake yote, alikuwa na wiki mbili Rukwa kusaka maisha kwa kwa kuwa mchuuzi wa samaki, yupo safarini kupelekwa Peramio na msamaria hapo chini na wengine ambao wameomba wasiwekwe picha zao wala majina yao.
Taarifa zaidi tunafuatilia na kukuletea hivi karibuni ikiwemo jina na namba za askari aliyekuwa akishughulikia suala hilo huko Namanyele kisha kuachia gari na kufurahia kutelekezwa kwa kijana huyo ambapo dereva wa pikipiki hiyo alifariki na viongozi wa kampuni hiyo ya simu walifika kutoa Rambirambi eneo la Kilando.
Kwa mawasiliano na msaada 0754 440749
Chanzo: Kalulunga Blog