Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

HAKUTAKUWA NA HOTUBA YOYOTE KWENYE SHEREHE ZA UFUNGUZI WA KOMBE LA DUNIA ZITAKAZOFANYIKA BRAZIL 2014

$
0
0
Sepp Blatter (kushoto) na Dilma Rousseff (kulia) walizomewa na mashabiki katika mechi ya Brazil vs Japan, June mwaka jana
 Shirikisho la soka duniani, FIFA, limetangaza kuwa hakutakuwa na hotuba yoyote kwenye sherehe za ufunguzi wa kombe la dunia nchini Brazil mwezi June mwaka huu.
Mwaka jana, Rais wa Brazil, Dilma Rousseff alizomewa na mashabiki kwenye ufunguzi mechi ya ufunguzi ya Confederations Cup.
Waandamaji waliingia mtaani kwenye majiji ya Brazil muda mfupi kabla ya kombe hilo June 2013 kupinga vitendo vya rushwa na gharama kubwa za maandalizi ya kombe la dunia na mashindano Olympics yatakayofanyika, Rio de Janeiro.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>