WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MH.ABDALLAH KIGODA KUWA MGENI RASMI TAMASHA LA...
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWAZIRI wa Viwanda na Biashara ambaye pia ndio mbunge wa Handeni, Dkt Abdallah Kigoda, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Utamaduni, lililopangwa kufanyika...
View ArticleLAMBORGHINI SIO KWENYE MAGARI TU SASA YAZINDUA SMARTPHONES ZA KIFAHARI...
Lamborghini haipo kwenye biashara ya magari ya kifahari tu. Na sasa imetangaza smartphone zake ziitwazo Antares. Simu hizi chache zimetengenezwa kwa kufuatisha umbo la gari hizo za kifahari na...
View ArticleKERO YA LEO:JE HIKI KIFOLENI CHA HAPA KUINGILIA MLIMANI CITY MALL NA KUELEKEA...
Ni mvurugano tuu Hapa ni mchanganyiko maana barabara hiyo kuna njia mbili, moja ya kwenda na nyingine ya kurudi lakini cha ajabu unakuta njia tatu yamepanga ynayoelekea njia moja kama picha...
View ArticleYALIYOJIRI LEO KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA MAMLAKA YA MAWASILIANO(TCRA)...
Ndugu Mlaki akiwa anafungua Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Prof. John S. Nkoma akifuatilia kwa...
View ArticleWATANZANIA WAWILI WANASWA NA KILO 55 ZA DAWA ZA KULEVYA AFRIKA KUSINI
Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia Dawa za Kulevya, Godfrey Nzowa (katikati) akiangalia dawa za kulevya aina ya heroine zilizokamatwa nchini, zikifunguliwa na afisa wa jeshi la polisi Neema Mwakagendi kabla...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZIKO YA MTOTO WA MAKAMU...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka udongo katika kaburi la mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, (Peter Mangula), wakati wa...
View ArticleRAIS KIKWETE APOKEA KOMBE LA DUNIA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilifunua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo Kirumba mjini Mwanza leo jioni.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akianza kulinyanyua Kombe la Dunia katika uwanja wa...
View ArticleMHE. JANUARY MAKAMBA KUWA MGENI RASMI TANZANIA UHURU NIGHT WASHINGTON, DC,
MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUUNGANA NA RAIS MUSTAAFU ALI HASSAN MWINYI SHEREHE YA UHURU CALIFORNIA Tiketi zinapatikana online au Piga simu kwa Dj Luke 301 661 6696, Dj Seif 202 286 6595 na Baraka...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI NOVEMBER 30, 2013
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleVIDONGE VYA UZAZI WA MPANGO VYADAIWA KUSABABISHA UPOFU
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hussein Mwinyi na Makamu wa Rais, Dk Gharib Bilal, katika Mkutano wa mwaka wa Uzazi wa Mpango, Oktoba mwaka huu. Katika Mkutano huo Tanzania ilionekana bado ina...
View ArticleMAGAZETI YA UDAKU YAMUAMKIA TENA BOB JUNIOR, YADAI AMEKIRI NDOA KUMUINGIZA...
Ni siku nyingine magazeti ya udaku yameamka na nyundo nyingine kwa Bob Junior. Awamu hii yanasema ‘Bob Junior: Nilipotea Maboya kuona, aanika siri za ndani za mkewe’.Bob Junior ameendelea kulaani na...
View ArticleMISHAHARA YA VIGOGO ‘HAILINGANI NA UFANISI’
Rais Jakaya Kikwete alinukuliwa katika kikao cha OGP London akisema mishahara ya viongozi wa umma haiwezi kuwa siri kwani ni sehemu ya bajeti, ingawa leo hii wengi katika serikali yake wanatetea usiri...
View ArticleKAMPUNI YA LG WAJA NA SIMU MPYA ‘G FLEX’ ZENYE UWEZO WA KUJIFUTA MIKWARUZO...
Kampuni ya LG ya Korea Kusini imetoa simu mpya LG G Flex zilizotengenezwa kwa material yanayoziwezesha simu hizo kurudi katika hali yake ya upya, hata baada ya kupata mikwaruzo ya kawaida ambayo...
View ArticleHUKUMU UJENZI WA GHOROFA JIRANI NA IKULU JANUARI 15
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imesema itatoa hukumu ya kesi ya ujenzi wa jengo la ghorofa 18 lililojengwa jirani na Ikulu lililopo mtaa wa Chimala Kitalu cha 45 na 46, jijini...
View ArticleHUU NI MTAZAMO TU: SOMA HAPA SABABU KUMI(10) ZINAZOSABABISHA WASICHANA...
Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume. Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni wengi...
View ArticleWALIMBWENDE WA MISS TANZANIA USA PAGEANT WAJINOA KWA MARA YA MWISHO
Joy Kalemera kutoka New Jersey Faith Kashaa kutoka Alabama Julia Nyerere kutoka Maryland. Hellena Nyerere kutoka Maryland. Sham Manka kutoka Massachusetts. Doreen Rumaya kutoka...
View ArticleBALOZI WA COCA COLA DAVID CORREY ATUA DAR NA KOMBE LA DUNIA, MAMIA WAFURIKA...
Balozi wa FIFA Coca-Cola David Correy kutoka Marekani aliyeimba wimbo rasmi wa Brazil World Cup 2014 akiongea na waandishi wa habari kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ambapo maelfu ya...
View ArticleTAMKO LA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA LINDI NA KATIBU OFISI YA KATIBU MKUU-...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMSAFARA WA MWENYEKITI UVCCM WAWEKEWA MAGOGO
Polisi mkoani Pwani inachunguza kundi la watu linalodaiwa kuweka magogo barabarani kuzuia msafara wa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) taifa, Sadifa Juma Khamis (MB) katika eneo la...
View ArticleMWANAMUZIKI MKONGWE WA CONGO, TABU LEY ROCHEREAU AFARIKI DUNIA
Mwanamuziki mkongwe wa Congo, Pascal Tabu Ley Rochereau amefariki dunia leo asubuhi baada ya kulazwa katika hospitali ya nchini Ubelgiji.Kwa mujibu wa mwanae Charles Tabu, aliyeongea na Radio Okapi,...
View Article