TID ALALA MAHABUSU YA OYSTERBAY
Khaleed Mohamed 'TID' Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga...
View ArticleWAZIRI WA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA MH. PROF. MAKAME MBARAWA (MB)...
Katikati ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. Prof Makame Mbarawa akisikiliza jambo wakati wa maadhimisho ya Sherehe za Miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.Mkurugenzi Mkuu wa...
View ArticleMWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA MONDULI ASIMAMISHWA UONGOZI MARA MOJA
TAARIFA KWA UMMAKUKOMA KUWA KIONGOZI KWA MWENYEKITI WA WILAYA YA MONDULI MCHUNGAJI AMANI SILANGA MOLLELKwa niaba ya baraza la uongozi la mkoa wa Arusha, napenda kuujulisha umma wote kwa ujumla kuwa...
View ArticleAJALI YATOKEA IRINGA MJINI USIKU HUU
TAXI inayoegeshwa eneo la Posta mjini Iringa imegongwa vibaya eneo la Idara ya maji mjini Iringa usiku huu na watu kadhaa kunusurika kifo ajali hiyo imetokea mida ya saa 2.30 usiku huu...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI DECEMBER 01, 2013
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleCHADEMA YATOA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA YA NDUGU ALI O. CHITANDA
UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA YA NDUGU ALI O. CHITANDAKutokana na kuwepo kwa taarifa ya Ndugu Ali Omari. Chitanda, huku pia waandishi wa habari wakitaka kujua na kupata ukweli kutoka Chama cha Demokrasia na...
View ArticleEMMANUEL MSUYA ACHUKUA MILIONI 50 ZA EBSS YA 2013
Mashindano haya ambayo kidogo yalichelewa kuanza yalipambwa na wasanii mbalimbali wakiwemo Barnaba, Makomando, Young Killer, Water Chilambo, Shaa, Kimbunga na Snura.Katika mashindano haya ambayo...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI YA LIGI YA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA NOVEMBER...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMUIGIZAJI WA FAST AND FURIOUS, PAUL WALKER AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI
Muigizaji wa Marekani, Paul Walker aliyekuwa akiigiza kwenye filamu ya Fast & Furious amefariki dunia kwa ajali ya gari California.Msemaji wake ametoa taarifa ya kifo chake kupitia Facebook kudai...
View ArticleHAWA NDIO WASHINDI WA TUZO ZA CHANNEL O ZILIZOFANYIKA JANA HUKO AFRIKA YA KUSINI
Wizkid bags the Biggest Award for The Night – Music Video Of The Year.All The Winners:Most Gifted Music Video Of the Year – Wizkid (Winner)Most Gifted Duo/Group Featuring VideoZONE FAM – WinnerTear gas...
View ArticleZITTO: URAIS, MABILIONI YA USWISI VINANIMALIZA
Dar es Salaam. Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amesema tuhuma alizosomewa na uongozi wa Chadema katika kikao cha Kamati Kuu sizo zilizoelezwa na chama hicho mbele ya waandishi wa habari na...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO DECEMBER 01, 2013
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAMKO LA UMOJA WA MATAWI YA WANACHADEMA MKOA WA MWANZA DHIDI YA UAMUZI HARAMU...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIUTANGULIZINdugu wanahabari, mbele yenu ni muunganiko wa wawakilishi wa matawi 189 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Mwanza. Umoja huu wa matawi...
View ArticleMARAIS WA AFRIKA MASHARIKI WASAINI MKATABA WA SARAFU MOJA EAC!
Head EAC signed the Monetary Union Protocol which will provide for a wide scope of co-operation in monetary and financial sectors among the EAC Partner States and will further catalyze trade growth...
View ArticlePROFESA MWANDOSYA AMJULIA HALI FATHER MWANG'AMBA HOSPITALINI INDIA ALIKOLAZWA...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Prof Mark Mwandosya akimjulia hali Father Joseph Mwan'gamba aliyemwagiwa tindikali Zanzibar, wote wawili wakiwa wamelazwa Apollo Hospital, Hyderabad, India.Picha na...
View ArticleJOY KALEMERA NDIYE MSHINDI WA MISS TANZANIA USA PAGEANT
Mlimbwende Joy Kalemera akipungia mashabiki baada ya kushinda mashindano ya Miss Tanzania USA Pageant yaliyofanyika usiku wa Jumamosi Novemba 30, 2013 kwenye ukumbi wa Hollywood Ballroom uliopo Silver...
View ArticleWAINGEREZA WA TINDIKALI WALIA NA SERIKALI
Picha za Katie Gee kabla (kushoto) na baada ya kushambuliwa na tindikali Zanzibar. PICHA | AFPDar es Salaam. Familia ya Waingereza, Kirstie Trup na Katie Gee, wote wenye umri wa miaka 18, waliomwagiwa...
View ArticleMKAGUZI WA HESABU AKUTWA AMEKUFA
Mkaguzi wa hesabu katika Shirika la COASCO, Sabas Mlengela (54), amekutwa amekufa maji ndani ya mto, mjini hapa. Walioshuhudia wamesema tukio hilo lilitokea jana asubuhi ambapo mwili wa mkaguzi huyo...
View ArticleUPDATES:DK KITILA AVULIWA UONGOZI CHUO KIKUU
Dar es Salaam, Tanzania. Taarifa zilizotufikia, zimeeleza kuwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam umemvua madaraka kwa muda, Dk Kitila Mkumbo kuongoza Kitivo cha Elimu cha Chuo Kikuu Kishiriki cha...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU DECEMBER 02, 2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View Article