MAGAZETI YA LEO ALHAMIS NOVEMBER 28, 2013
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePOLISI YAPIGA MARUFUKU KUUZA VISU, SIME, MAPANGA BARABARANI
“Kwa mfano, badala ya ofisi kwenda kuchukua kiasi kikubwa cha fedha na kwenda nacho kiwandani au ofisini kwa ajili ya kuwalipa mishahara wafanyakazi, ni vyema kujisajili katika mitandao ya simu au...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZILIZOCHEZWA JANA...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUANACHAMA WA ZITTO ‘MOTO’ CHADEMA',
UANACHAMA wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe umetajwa kuwa ‘kaa la moto’ kwa uongozi wa chama hicho hata kabla ya kiongozi huyo kujibu mashitaka 11 yanayomkabili ili kunusuru...
View ArticleMKUTANO UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA MAMLAKA YA MAWASILIANO...
Mwakilishi wa Mamlaka ya Mawasiliano kutoka Rwanda Ndugu Mutabal akitoa salam zakeMwakilishi wa Mamlaka ya Mawasiliano kutoka Uganda Ndugu Mwesigwa akitoa salam zake Mwakilishi wa Mamlaka ya...
View ArticleMAMISS WAANZA KUJINOA TAYARI KWA MISS TANZANIA USA PAGEANT JUMAMOSI NOV 30
Lady Kate mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Africa USA Pageant akiwaasa Mamiss Tanzania USA Pageant leo Jumamtano Novemba kwenye hotel ya MarriottPamela Egbe Messy mratibu wa Miss Africa USA Pageant...
View ArticleUSAFI WA MITARO ENEO LA MAKUMBUSHO IMEKUWA TATIZO KUBWA, MAGONJWA YA MLIPUKO...
Huu ni mtaro ambao umeziba na maji hayaendi,na watu kutupa uchafu ndani yake kama unavyoonekana.Juu ya huo mtaro kuna mgahawa wa chakula,ambao watu wanautumia kwa mahitaji ya chakula.Kama picha...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA SHEREHE ZA MAADHIMISHO MIAKA 10 YA MAMLAKA...
- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hituba yake ya uzinduzi rasmi wa sherehe za maadhimisho ya miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),...
View ArticleRIHANNA KUCHANGIA SHILINGI MILIONI 162 KUSAIDIA WAATHIRIKA WA KIMBUNGA CHA...
Rihanna ni miongoni mwa mastaa duniani walioitikia wito wa kuwasaidia waathirika wa kimbunga kilicholeta madhara makubwa nchini Ufilipino mwanzoni mwa mwezi huu.Staa huyo ameahidi kuchangia dola...
View ArticleTUSIZUNGUMZIE HABARI ZA DIAMOND NA ZITTO HATA HIZI ZINAHUSIKA KATIKA JAMII
Paka huyu alifuatiliwa mienendo yake na mtadao wa PAMOJA baada ya kuonekana anaweza kuwa na habari tofauti ndani ya wanajamii hasa wale watizamajiPaka sasa amekaa muda mrefu akiwa ametulia sasa...
View ArticleUTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO...
WIZARA YA UCHUKUZIMAMLAKA YA HALI YA HEWAS.L.P.3056, DAR-ES-SALAAMFax: 2460735. email: met@meteo.go.tzUTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA NOVEMBER 29, 2013
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTOVUTI KUU YA SERIKALI KUZINDULIWA LEO KWENYE UKUMBI WA MWALIM NYERERE JIJINI...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda kesho tarehe 29, Novemba 2013 anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Tovuti Kuu ya Serikali katika Ukumbi wa...
View ArticleCHAMELEONE KULITIKISA JIJI LA MWANZA DEC 24 MKESHA WA CHRISTMAS
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Dr. Jose Chameleone akisaini mkataba wa wa kupiga show jijini Mwanza itakayofanyika mnamo tarehe 24/12/2013 mkesha wa kuikaribisha sikukuu ya Christmas kuanzia saa 12...
View ArticleBAREGU AITAHADHARISHA CHADEMA KUHUSU ZITTO
Dar es Salaam. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu amewataka viongozi wa chama hicho kutafakari na kudhibiti madhara yanayoweza kukikumba hasa baada ya hatua yake ya hivi karibuni...
View ArticleHUU NI MTAZAMO TU
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleEAC: JUMUIYA MPYA, CHANGAMOTO ZA ZAMANI
Rais wa Rwanda, Paul Kagame (kushoto) akitembea pamoja na Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (katikati) na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete (kulia) Walipowasili kwenye Mkutano wa 14 wa EAC wa Viongozi...
View ArticleTAZAMA HAPA RATIBA YA MECHI YA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA KESHO...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAPELI WA KIZUNGU ANASAKWA:-TAARIFAA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Tahadhari:- Kuna tapeli mwenye asili ya kizungu anadai yeye ni raia wa Africa Kusini. ni mrefu, anaonekana sana mitaa ya Kinondoni kwa Manyanya jijini Dar es Salaam mida ya usiku. Ametapeli watu wengi...
View ArticleTAZAMA HAPA TUKIO LA KUSIKITISHA :BAADA YA FAMILIA YAKE KUNYANYASWA , KUTESWA...
Baada ya maumivu ya muda mrefu Dr.William Petit amepata mtoto huyu mwezi huu tarehe 23, 2013.Dr.William Petit alishikwa na mshituko baada ya tukio ambalo kwa hakika hatokuja kulisahau maishani mwake...
View Article