Ndugu Mlaki akiwa anafungua Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
Baadhi ya wadau mbalimbali katika secta ya Mawasiliano Tanzania wakiwa katika Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
Waendesha mada wakiwa mezani Kutoka kushoto ni Bi. Elizabeth Nzagi, Ndugu. Haruni Lemanya , Aliyeshika Microphone no Ndugu. Mlaki ambaye ndiye Mwendeshaji wa Mkutano, Injinia James Kilaba na Albert Richard .
Wadau mbalimbali wa mawasiliano Tanzania pamoja na Secta nyengine mbalimbali wakiwa wanafuatilia kwa umakini mada zinazo endelea
Bi. Elizabeth Nzagi akizungumzia Mada juu ya sheria na mambo muhimu katika mawasiliano.
Injinia James Kilaba akizungumzia juu ya mafanikio ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuanzia mwanzo mpaka kufikia Miaka 10.
Mkurugenzi wa Mambo ya Posta Tanzania Bi.Makubuli akizungumzia jambo juu ya maendeleo ya Posta.
Ndugu Haruni Lemanya akizungumzia maswala mbalimbali ya Posta ikiwa ni pamoja na maendeleo ya hali ya juu ambayo yamefanywa na posta, mfano kuanzisha utaratibu wa kuweka sanduku la posta kila nyumba.
Ndugu Albert Richard akizungumzia juu ya nguvu ya Mabadiliko ya Sayansi na Teknorojia katika kukuza uchumi wa Tanzania ikiwa ni Mijini na Vijijini
Endelea kufuatilia hapa