Balozi wa FIFA Coca-Cola David Correy kutoka Marekani aliyeimba wimbo rasmi wa Brazil World Cup 2014 akiongea na waandishi wa habari kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ambapo maelfu ya Watanzania wamepata fursa ya kushuhudia kombe halisi la FIFA la Dunia na kupiga nalo picha kwa karibu.
Balozi wa FIFA Coca-Cola David Correy kutoka Marekani aliyeimba wimbo rasmi wa Brazil World Cup 2014 akiongea na waandishi wa habari kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo
Watanzania wamepata fursa ya kushuhudia kombe halisi la FIFA la Dunia na kupiga nalo picha kwa karibu.