WAZEE WA BOMBA MPOO??????
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA PICHA ZA KEKI KUBWA ZAIDI KUWAHI KUTENGENEZWA KENYA, INA UZITO WA KGS...
Keki yenye kg 5000Hii ndio keki inayosemekana kuwa kubwa kuliko zote kuwahi kutengenezwa Kenya, iliyoandaliwa (bake) kwa siku saba na yenye uzito wa kilo 5000, uzito unaofananishwa na wa magari matano...
View ArticleMAITI YA KICHANGA YAOKOTWA DAR
Dar es Salaam. Watu wawili wamefariki dunia akiwemo mtoto mwenye umri wa siku moja ambaye maiti yake imekutwa kwenye nyumba ambayo haijakamilika ujenzi (pagale), katika matukio yaliyoripotiwa juzi...
View ArticleTAZAMA HAPA VIDEO YA WIMBO WA SNURA- NIMEVURUGWA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleKIJIWE CHA UGHAIBUNI KUTOKA KWA WADAU WA NEW YORK
Kijiwe No. 43 from Luke Joe on Vimeo.Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMNIGERIA MBARONI NA KILO NNE ZA DAWA ZA KULEVYA
Wiki moja tangu Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe atishie kuwafukuza kazi maofisa wa idara za usalama watakaobainika kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya kupitishwa katika Uwanja...
View ArticleMTOTO AVUNJWA KIDOLE NA MWALIMU WAKE BAADA YA KUJA NA NYWELE NDEFU SHULENI
Jacline Staniely[9] akiwa nyumbani baada ya kutoka hospitali kutibiwa Picha ya Xray ikionyesha cha kati kilichovunjika ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pf3 ya polisiWiki ya kupinga...
View ArticleMAZISHI YA MAREHEMU JERRY ISAAC MRUMA YAFANYIKA KINONDONI DAR ES SALAAM LEO
Familia ya Isaack Mruma ikiwa katika ibada maalum ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika Kanisa la KKKT, Usaharika wa Mbezi Beach Dar es Salaam. Mwili wa Mtanzania Jerry Isaack Mruma aliyekuwa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO NOVEMBER 27, 2013
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleCHADEMA YATANGAZA UCHAGUZI WA NDANI; ZITTO, DK KITILA WAPEWA BARUA ZA MASHITAKA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimesema kimewaandikia barua aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Zitto Kabwe na Mjumbe wa kamati Kuu, Dk Kitila Mkumbo ambazo wanapaswa kujieleza kwa siku kumi...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZILIZOCHEZWA JANA...
ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleRAIS KIKWETE NA WADAU MBALIMBALI WAZUNGUMZIA KAMPENI YA FURSA
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wadau mbali mbali walioshiriki kwenye Warsha ya Kamata Fursa Twenzetu, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.Mh. Rais...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMATANO...
ENDELEA KUTIZAMA MECHI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleHUU NI MTAZAMO TU
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAADHIMSHO YA KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA YAFANYIKA KOANI DODOMA
Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserekali linalopiga vita vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia Sara Mwaga akifafanua jambo alipokuwa akisoma risala wakati wa uzindizi wa wa maadhimisho ya...
View ArticleMABOMU, RISASI VYARINDIMA KIVULE
Waendesha bodaboda 13 wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kuendesha mauaji dhidi ya watu wanaodaiwa kuwa ni wezi wa pikipiki katika mtaa wa Kivule Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Mbali ya waendesha...
View ArticleWAHUSIKA MMELIONA HILI?: VIJANA WAJIRUSHA BAHARINI KUTOKA JUU YA PANTONI...
Kijana anonekana anaruka kutoka Juu ya Pantoni (Kivuko) mbele kidogo baada ya Pantoni hiyo MV. Magogoni kuanza safari yake, huku abiria wengi wakiwa wameacha viti vyao na kuendelea kushangaa. Wasafiri...
View ArticleSERIKALI YATANGAZA NAFASI 2748 ZA AJIRA KWA WATANZANIA
BOFYA HAPA CHINI NAFASI 2748 ZA AJIRA KUTOKA SERIKALINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWASANII WAANZA KUTAMBULISHWA WATAKAO LINOGESHA TAMSHA LA KRISMAS...
Mwimbaji wa nyimbo za injili aliyeamua kuokoka akitokea kwenye mziki wa kizazi kipya aliibuka mwaka mwaka 2011 tokea Bongo Star Seach (BSS) Beatrice Williamu atatumbuiza kwanye tamasha hilo...
View ArticleGAZETI LA MWANANCHI WAJITOKEZA KUDHAMINI TAMASHA LA HANDENI
KAMPUNI ya Mwananchi Communication Ltd (MCL), imejitokeza kudhamini Tamasha la Utamaduni wilayani Handeni mkoani Tanga, linalotarajiwa kufanyika Desemba 14 katika Uwanja wa Azimio Handeni Mjini na...
View Article