Baada ya maumivu ya muda mrefu Dr.William Petit amepata mtoto huyu mwezi huu tarehe 23, 2013.
Dr.William Petit alishikwa na mshituko baada ya tukio ambalo kwa hakika hatokuja kulisahau maishani mwake ni baada ya Familia yake kutekwa na kuuawa kikatili.
Dr.William Petit akiwa na mkewake mpya baada ya maumivu ya miaka 6 akiendelea kuumia na kuwaza juu ya mke wake na watoto wake.
Mnamo mwaka 2007, tukio la kusikitisha na kuhuzunisha lilimpata
Dr.William Petit ambapo alipoteza mke na watoto wawili ambao walitekwa , wakanyanyaswa, wakaumizwa, wakabakwa na mwisho wakauawa kwa kifo cha kikatili.

Dr.William Petit na mke wake mwezi wa nane mwaka huu wakitangaza kwamba wanatarajia mtoto.
Gazeti la Daily mail online , limeandika kuwa baada ya kufanyiwa vitendo vyote hivyo nyumba hiyo ilichomwa kwa kutumia Gesi huku mke wa Dr.William Petit na watoto wake wawili wakiwa wamefungiwa kitandani na kuzibwa vichwa na mito.
Hizi zilikuwa picha za kwanza walizo weka mtandaoni Dr.William Petit na mkewake kuwa wanatarajiwa kupata mtoto.
Dr.William Petit akiwa na furaha pamoja na mke wake mpya Christine Paluf