Mwakilishi wa Mamlaka ya Mawasiliano kutoka Rwanda Ndugu Mutabal akitoa salam zake
Mwakilishi wa Mamlaka ya Mawasiliano kutoka Uganda Ndugu Mwesigwa akitoa salam zake
Mwakilishi wa Mamlaka ya Mawasiliano kutoka Kenya Ndugu Mutua akitoa salam zake
Wadau mbalimbali wa mawasiliano kutoka secta mbalimbali wakiwa wanafuatilia kwa umakini mkutano
Mr. Mlaki Mwendeshaji wa Majadiliano akiendelea kutoa Mwongozo
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Prof. John S Nkoma akizungumzia mada juu ya Mabadiliko kutoka Analojia kwenda Dijitali
Muhandisi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Ndugu Andrew Kisaka akizungumzia mada juu ya mawasiliano .