WIZARA YA UCHUKUZI
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 28/11/2013.
[Mikoa ya Kigoma, Shinyanga na Tabora]: [Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza, Tanga]: [Visiwa vya Unguja na Pemba]: [Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]: [Mikoa ya Ruvuma na Morogoro(kusini)]: | Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua. | |
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]: [Mikoa ya Singida na Morogoro (kaskazini]: [Mikoa ya Dar-Es-Salaam na Pwani]: [Mikoa ya Lindi, na Mtwara]: | Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua. | |
[Mkoa wa Dodoma ]: | Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua. |
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI | Kiwango cha juu cha joto | Kiwango cha chini cha joto | Mawio (Saa) | Machweo (Saa) |
ARUSHA | 26°C | 15°C | 12:12 | 12:26 |
D'SALAAM | 32°C | 24°C | 11:55 | 12:21 |
DODOMA | 31°C | 20°C | 12:11 | 12:33 |
KIGOMA | 28°C | 21°C | 12:37 | 12:55 |
MBEYA | 21°C | 14°C | 12:16 | 12:46 |
MWANZA | 27°C | 20°C | 12:28 | 12:39 |
TABORA | 27°C | 18°C | 12:25 | 12:43 |
TANGA | 32°C | 23°C | 12:00 | 12:18 |
ZANZIBAR | 31°C | 24°C | 11:55 | 12:21 |
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa;
kutokaKusini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutokaMashariki kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.
Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 30/11/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 28/11/2013.