Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: CHRISTIAN RONARDO ATWAA TUZO YA MWANASOKA BORA WA DUNIA WA FIFA WA...

Mchezaji wa tumu ya taifa ya Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo, ameuvunja utawala wa miaka minne wa Lionel Messi wa Argentina anayechezea klabu pinzani ya Barcelona baada ya kunyakua tuzo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO: NAMSUBIRI MBOWE MAHAKAMANI

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema anamsubiri Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe mahakamani. Zitto ametoa kauli hiyo siku moja baada ya Mbowe kutangaza kumburuza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARSENAL YARUDI KILELENI BAADA YA KUIFUNGA ASTON VILLA

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI UKONGA WAGOMEA FIDIA KIDUCHU BOMBA LA GESI

Mwenyekiti wa Kamati ya kufatilia malalamiko ya wananchi wa mji mpya relini Bw. Omari Msusa kushoto akihojiwa na vyombo vya habari kuhusu fidia wanayotakiwa kulipwa huku Mbunge wa Jimbo la Ukonga Dar...

View Article

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA J, DIAMOND NA P-FUNK WATATU HAO WAINGIA STUDIO KUANDAA MSOSI MTAMU

Unapata picha gani pale the heavyweight MC anapokutana na ‘the Bongo Flava Prince’kwenye wimbo uliotayarishwa na ‘Godfather wa Bongo Flava’.. Kwa wengi mchanganyiko huo unatoa mnuso mzuri wa hit ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HILI NDILO DAMPO JIPYA NA LA KISASA LA KUTUPIA TAKATAKA LINALO JENGWA JIJINI...

Huu ndio mwonekano wa Dampo hilo la kisasa kwa upande wa juu ambapo ujenzi upo katika hatua za mwishoni  Hili ni eneo ambapo magari yaliyobeba takataka yatakua yanaingia na kumwanga taka taka hizo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATANO JANUARY 15, 2014

 ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LORI LILILOBEBA MBAO LAPATA AJALI ENEO JIRANI NA MIKUMI MOROGORO

Baadhi ya watu wakiwa wanasaidia kutoa mbao baada ya ajali hiyo kutokea   Eneo ambapo Dereva Gari lilianza kumshinda  ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI Lori likiwa limepinduka  Moja ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALEX MASAWE YADAIWA YUKO HURU

Dar es Salaam. Utata umeibuka kuhusu alipo mfanyabiashara maarufu nchini, Alex Masawe baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa ameachiwa huru huko Dubai, Falme za Kiarabu (UAE) alikokuwa akishikiliwa.Masawe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ELIMU YA BURE: TAMBUA KUNDI LA DAMU ULILOPO , SOMA HAPA

Katika pekua yangu nimegundua leo hii kuwa watanzania wengi hatujui tupokatika kundi gani la damu.Na mbaya zaidi utakuwa wakina mama wana kundi labda -O, au kundi lenyeNegative huwa wanajifungua mtoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPIGIE KURA MUIGIZAJI JUMA RAJAB AWEZE SHINDA TUZO YA AFRIKA

Kumbuka kumpigia kura Muigizaji Juma Rajab Rashid a.k.a Cheche ili aweze kushinda tuzo ya Muigizaji Bora wa Kiume kwenye Tamthilia kwa kutuma ujumbe mfupi kwenda namba +2783142100415 au kwenye mtandao-...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JACKIE CLIFF ARUDI MTAANI? APOST PICHA MPYA BAADA YA MWEZI 1, WATU WABAKI...

Jackie Cliff amerejea mtaani? Hilo ndio swali ambalo kila mtu atajiuliza leo bila kupata majibu baada ya mrembo huyo wa video za muziki nchini aliyekuwa amekamatwa na madawa ya kulevya huko Macau,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SNURA KUACHIA ALBUM NA FILAMU YA MAJANGA MWAKA HUU

Muigizaji aliyehamia kwenye muziki, Snura anatarajia kuachia wimbo mpya ‘Ushaharibu’ kabla ya kutoa album ya Majanga pamoja na filamu yake.Snura akiongea na Clouds FM weekend hii, Snura alisema kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YAJIPANGA KUKWAMISHA SERIKALI TATU

Kutumia alama ya Ndizi na Chungwa *Nia ni kuhakikisha serikali mbili zinabaki*Yamshushia lawama nzito Jaji WariobaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kipo katika mkakati mzito wa kuhakikisha kinakwamisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA ALAMA HIZI, ANZA MWAKA NA FIKRA MPYA-3

KAMA hutajitambua na kujithamini, hatatokea mtu wa kukujulisha kuwa wewe ni mwenye thamani. Maisha yako ni muhimu, afya yako pia ni muhimu sana. Kila kitu chako kina umuhimu wake, lakini usitegemee mtu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWAJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU CLEOPA DAVID MSUYA NA WAZIRI...

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri Mkuu Msaafu Mzee Cleopa David Msuya aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jana jijini Dar es Salaam.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAENDESHA BODABODA UYOLE WAKIMBIA NA MAITI YA MWENZAO BAADA YA MCHUNGAJI...

 Mchungaji wa Bodaboda Bahati Mwasote akiendesha Ibada ya mazishi. Umati mkubwa wa waendesha bodaboda waliofika makaburini kumzika mwenzao ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFA HAPA CHINI Kanisa la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGARI MAWILI YAWAKA MOTO IRINGA WAKATI WANAFUNZI WA WELDING WAKIJIFUNZA...

Wananchi Iringa  mjini  wakilitazama daladala  lililowaka  moto wakati likiwa kwa mafundi welding  likichomelewa leo eneo la uwanja wa  samoraDaladala  likiwaka  moto  huku kikosi cha zimamoto na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYUMBA ZAIDI YA 20 ZABOMOLEWA KITONGOJI CHA LUKONDE KIJIJI CHA KIKUNDA...

Nyumba ya mkazi wa kitongoji cha Lukondo katika kijiji cha Kikundi kata ya Kiroka, Fikiri Buma ikiwa imebomolewa na kile kilichodaiwa kuwa ni utekelezaji wa amri ya baraza la nyumba la halmashauri ya...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>