Baadhi ya watu wakiwa wanasaidia kutoa mbao baada ya ajali hiyo kutokea
Lori likiwa limepinduka
Moja ya Tera likiwa limedondokea upande wa pili.
Kwa mbele ni kichwa cha Lori hilo kikiwa kimesalimika baada ya ajali hiyo kutokea.
Picha na Morogoro yetu blog