Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

JACKIE CLIFF ARUDI MTAANI? APOST PICHA MPYA BAADA YA MWEZI 1, WATU WABAKI MDOMON WAZI

$
0
0

Jackie Cliff amerejea mtaani? Hilo ndio swali ambalo kila mtu atajiuliza leo bila kupata majibu baada ya mrembo huyo wa video za muziki nchini aliyekuwa amekamatwa na madawa ya kulevya huko Macau, China kupost picha mpya leo ikiwa ni mwezi mmoja tangu aweke picha ya mwisho.

Jackie amepost picha hiyo akiwa amevaa kofia nyeusi liyoandikwa Kenzo, top nyeusi na pensi aliyowahi pia kuonekana nayo kwenye picha zake zingine huku akiandika tu # na alama ya vidole viwili na hivyo kuwaacha wengi na maswali kama kweli ametoka au mtu mwingine ameingia kwenye akaunti yake ya Instagram na kuweka picha hiyo.
Hivi ndivyo watu mbalimbali walivyotoa maoni kwenye picha hiyo.
[ @ ] megmooner Gosh is it u…cause im about to scream…yeaahhh ..that means its not true..jackie ..God..u have no idea yaani im happy..I hope no one is playing a game here..amooches welcome bk my doll @mz_cliff 6h
[ @ ] debby_lister Either ur back or not I wish u all da best an I will always luv u 6h

[ @ ] debbiewinstone Wow Jackie im so happy to see ur post love,,,,i just wanna hug uuuuuuu so hard babe….woiii u dont know how sad i was feeling
[ @ ] debbiewinstone So so so happyyyyyyyyyyy,,,

 ENDELEA KUSOMA HABARI HIII KWA KUBOFYA HAPA CHINI


[ @ ] mcullah On point like a decimal am glad your back @mz_cliff
[ @ ] debbiewinstone Its jus yesterday i posted about uuuu in my insta awwwww……
[ @ ] megmooner I feel like yaani uwiiiiii…sijui wataweka wapi sura zao wale waongea sana…ny*kony*oko kujifanya oohh jackie this , jackie that..im just too excited I cant help..im sooooo happy..hujui tu jackie. @mz_cliff smooches all over yah…ni hayo tu..naomba msinitukane .im just happy 
[ @ ] chaggabarbie @megmooner happiest Day bby
[ @ ] debbiewinstone Jamani no mind games here,,,,,plz isiwe tu mtu anacheza na akili za watu,,,manake nimeshafurahi hadi nimelia hapa….jackie plz say something,,,we misss uuuuuu here n love uuuuuu
[ @ ] annamuro29 Furaha niliyonayo siwezi kuekea. Mungu naomba iwe ni kweli @mz_cliff free again
[ @ ] ellecakes_534 Someone else posted for her this is an old pic ….but otherwise God will giv giv u strength tym will pass 4years will seem 1year
[ @ ] gifragilead Walah km ww muuaji wa watt wa watu umeachia basi na mm naanza kuuza sembe,haiwezekani mtuaharibie watt mitaani af mkae kizuizini cku mbili muachie.Nailaaani sn serikali ya tz kwa ushetani inayoendesha kuwakingia kifua wauwaji hawa,..sasa kwa mtindo huu c kila mtu atakuwa muuza sembe

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>