MAWAZIRI, VIGOGO WAFANYA KUFURU
Waziri wa Ujenzi, John Magufuli akisisitiza jambo fulani siku za hivi karibuni, yeye ndiye mwenye dhamana na nyumba za Serikali. Picha na Maktaba Dar es Salaam . Viongozi wa Serikali wakiwamo...
View ArticleMAWAZO HUZAA UKWELI; VIJANA MPO? SOMENI HII! KISHA JITAMBUE
Kijana mdogo wa sasa anawaza kula bata, sijui wana maana gani bata ukimuangalia ni mchafu mawazo yake ya ajabu ajabu fuatilia utaona. Siku hizi fasheni kuwa shabiki wa chama au timu inayofanya vizuri...
View ArticleSOMA HAPA HISTORIA YA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA ISRAEL ARIEL SHARON
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Israel, Ariel Sharon (85) amefariki dunia katika Hospitali ya Sheba Medical Centre alipokuwa akipatiwa matibabu ya afya ya viungo hususan figo, Picha na Mashirika ya Umma...
View ArticleMECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAPILI JANUARY 12, 2014
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUTAFITI: DAWA LA KULAINISHA NYWELE CHANZO CHA UVIMBE TUMBONI, KUBALEHE KABLA...
Utafiti umebaini kuwa matumizi ya dawa za kulainisha nywele 'relaxer’ ni chanzo cha wanawake kuota uvimbe kwenye kizazi unaojulikana kitaalamu kama ‘fibroids’. Kadhalika kuweka dawa hizo kwenye nywele...
View ArticleWAZIRI WA SERIKALI LIBYA AUAWA
Naibu Waziri wa viwanda nchini Libya ameuawa kwa kupigwa risasi wakati alipokuwa ziarani mjini Sirte Mashariki mwa Tripoli ambako alizaliwa.Vyombo vya habari nchini humo vinasema kuwa watu...
View ArticleTASWIRA MBALI MBALI KATIKA SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR LEO
Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia wananchi wa Zanzibar wakati akiingia kwenye uwanja wa Amani na gari la wazi kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi. Rais wa Jamhuri ya Muungano...
View ArticleMAGAZETI YEA LEO JUMATATU JANUARY 13, 2014
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO NA MSIMAMO YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWAPINZANI WAMGOMBEA ZITTO
Mrema: Zitto ni jembe namuomba ajiunge TLP*Mbatia: Tunamkaribisha NCCR-Mageuzi aje tufanye kaziMBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), ambaye ana mgogoro na chama chake, sasa anaonekana...
View ArticleTANZANIA JOINS FORCES WITH BRITAIN'S NO. 1 SCHOOL TO UNEARTH FOOTBALL TALENT.
“Tanzania has taken the first step towards producing their first Premier League player – thanks to Eton College, England’s premier public school. Eton Coach, Glen Pierce speaking at the press...
View ArticleMBOWE KUMBURUTA ZITTO KORTINI
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman MboweDar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe anapanga kumchukulia hatua za kisheria...
View ArticleMSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA SNURA ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE NA...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi maarufu kama Snura wa Majanga akiwa nyumbani kwake alipokuwa anajiandaa kwenda kwa watotot yatima kusherekea siku yake ya kuzaliwa na watoto haoWatoto...
View ArticleHUYU NDIYE NDEGE (BIRD) ALIYERUKA UMBALI WA MAILI 16,000 KUTOKA SCOTLAND HADI...
kwanza mtu unachoweza kujiuliza ni aliwezaje kujulikana ameruka umbali huo na kuwa amefika Peru na Kurudi UK, right? Ndege huyo alifungwa kifaa maalum (tracking device) kwenye mgongo wake,...
View ArticleMWANAUME WA AUSTRALIA ATOLEWA MENDE MWENYE UREFU WA INCH 1 SIKIONI
Mwanaume mmoja wa Australia alijikuta katika wakati mgumu baada ya mende mkubwa mwenye urefu wa inch 1 kuingia kwenye sikio lake wakati amelala usiku na kumsababishia maumivu.Kuhusu alivyokuwa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE JANUARY 14, 2014
MAGAZETI MENGINE YATAWAIJIA HIVI PUNDEPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleKCC YA UGANDA YATWAA KOMBE LA MAPINDUZI KWA KUILAMBA SIMBA SC BAO 1-0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akimkabidhi Kombe la Mapinduzi Nahodha wa Timu ya Kcc kutoka Kenya Kawoya Fahad,katika mchezo wa Fainali na Timu ya Simba,uliochezwa lao katika...
View ArticleMHUDUMU WA MOCHUARI ‘AMCHIMBA MKWARA’ WAZIRI
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid.PICHA|MAKTABA Mbeya. Mfanyakazi wa Kitengo cha Kuhifadhi Maiti cha Hospitali ya Rufaa ya Mbeya, Eugene Vurugu amemtisha Naibu Waziri wa Afya na...
View ArticleBREAKING NEWS: RAIA 200 WAFARIKI WAKITOROKA VITA SUDANI KUSINI
Zaidi ya watu 200 raia wa Sudan Kusini wamezama katika ajali ya ferry kwenye mto Nile wakikimbia vita vinavyoendelea katika mji wa Malakal.Taarifa hii ni kwa mujibu wa msemaji wa jeshi la Sudan...
View ArticleTAARIFA ISIYO SAHIHI KUHUSU TSUNAMI
Dear wadau, Kuna taarifa inayosambazwa kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu za mkononi (SMS) kuhusiana na TMA kutoa tahadhari ya Tsunami. Taarifa hizo sio za kweli, uionapo ujumbe huu upuuzie kwa kuwa sio...
View Article