ARSENAL KUMSAJILI DRAXLER PAUNDI MILIONI 37
KLABU ya soko Arsenal ya nchini Uingereza,ipo tayari kutoa Pauni Milioni 37 kumnunua Mjerumani ambaye wanaamini atakuwa Robin van Persie mwingine.Arsenal wanajiandaa kufika bei ya Julian Draxler,...
View ArticleMKAPA AMKABIDDHI RAIS KIKWETE VITABU VYA HOTUBA ZAKE
Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa leo amemkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya vitabu vya hotuba zake alizozitoa kwa nyakati tofauti wakati wa uongozi wake wa miaka...
View ArticleSHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI KANDA...
Askari Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam wakibeba maborota ya mitumba ya nguo za ndani kama sidiria na chupi leo katika soko la Karume katika operesheni ya kukataza kuuza nguo za ndani za...
View ArticleWAFANYABIASHARA WA SOKO KUU NJOMBE WALILIA MAJI NA UMEME
Wafanyabiashara wa Soko Kuu Mjini Njombe Wamerejea Tena Kauli Yao ya Kuutaka Uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Njombe Kukamilisha Ukarabati wa Miundombinu ya Maji na Umeme Ndani ya Soko Hilo.Akiongea...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS JANUARY 16, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA: JE HIZI ALAMA ZA "X" ZILIWEKWA MAPAMBO? AU KUCHAFUA NYUMBA ZA WAHUSIKA?
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPICHA NA IRINGA YETU BLOG Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticlePOLISI WATUHUMIWA KUVUSHA WAHAMIAJI HARAMU
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe.PICHA|MAKTABA Dar es Salaam: Polisi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Dar es Salaam, wanatajwa kuwa wahusika wakuu wa kusaidia wahamiaji haramu kuingia...
View ArticleSIRI HII HAPA: HAYA NDIYO MAFANIKIO AMBAYO HUYAFAHAMU NA UNAYAPATA KATIKA...
Wote tunapenda biashara zenye mafanikio, lakini hatujui tufanye nini. Wengi tunaanzisha biashara ya kuiga tu, ingawa sijasema kuiga ni dhambi,basi utakuta salon hapa, pale, kule, nyuma, mbele pembeni...
View ArticleVIBAKA WAVAMIA, WAIBA NYUMBANI KWA NYERERE
NYUMBA ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, inayotumiwa na mjane wake, Mama Maria na familia, wiki hii imevamiwa na vibaka usiku na kuvunjwa. Taarifa zilizofikia gazeti hili jana zilibainisha kuwa...
View ArticleDAWASCO YATAJA WADAIWA SUGU
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASCO Eng Jackson Midala akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya matukio mbalimbali ya shirika lake kwa mwaka 2013 na mategemeo ya uboreshaji huduma kwa mwaka...
View ArticleUPDATES: LIYUMBA ASHINDA KESI
MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde katika Mahakama ya Hakimu...
View ArticleMAPENZI YA SIMU, USANII MTUPU, ZUBAA UCHEKWE!
MAPENZI yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu lakini mapenzi hayahaya yanafikia hatua tya kuwadatisha baadhi ya watu. Wengi wasiojua sarakasi zilizomo kwenye uwanja wa mapenzi wanashindwa...
View ArticleMELI NYINGINE YA TITANIC KUTENGENEZWA NCHINI CHINA KWA $164M
Kampuni ya Seven Star Energy Investment Group, yenye makazi yake jimboni Sichuan nchini China itatumia dola milioni 164 kutengeneza meli inayofanana kila kitu la meli kama ya Titanic (replica)...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA JAJI GEORGE LIUNDI...
Rais Jakaya Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Jaji George Liundi wakati wa shughuli za kuagwa mwili huo zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA JANUARY 17, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleELIMU YA BURE KWA WAKULIMA NA WASIO WAKULIMA CHUKUA HII: JINSI YA KUPANDA,...
Sehemu ya Kwanza.. Kama ada kama dawa blog yetu inajieleza kwamba itakuwa inakumbusha au kutoa elimu ya vitu tunavyovijua lakini tumesahau au hatufuatilii, nah ii yote ni kutaka kukupa changamoto wewe...
View ArticleMAKUNDI YA URAIS YAIVURUGA CCM
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.PICHA|MAKTABADar es Salaam. Makundi ya Urais wa 2015 yanaendelea kuivuruga CCM baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Singida, Mgana Msindai kuibuka na kusema...
View ArticlePATA TASWIRA 14 ZA ULALAJI WA WATOTO NA UNAWEZA KUJIFUNZA KITU KUPITIA PICHA...
Mapacha wakikuwa watakuwa mamodel ukipitia picha unaweza kujifunza kituHuyu akikuwa ni mcheza RugbyHuyu nae akikuwa atakuwa comedian Hapa wa nyuma akikua atakuwa Dr na wa mbele atakuwa Prof.ENDELEA...
View ArticleHAKIMU MKAZI WA MFAWIDHI WA MAHAKAMA YA WILAYA YA MBEYA, MICHAEL MTEITE...
Wanaotuhumiwa kwa ujambazi wa kutumia siraha HAKIMU Mkazi wa Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Mbeya, Michael Mteite amewagiza wakili kuhakikisha anampeleka mtuhumiwa mahakamani hata kwa machela....
View ArticleWAZIRI AZOMEWA MBELE YA PINDA
*Wananchi wadai amewatelekeza muda mrefu*Serikali yaahidi kuwasaka walioua raiaMBUNGE wa Kiteto (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Benedicti Ole Nangoro jana alijikuta...
View Article