Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPTADES :MAHAKAMA KUU YA DAR ES SALAAM YAHIRISHA KUTOA UAMUZI WA MAOMBI YA...

Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam,imeahirisha kutoa au kutotoa zuio la muda kwa kamati Kuu ya CHADEMA kutojadili uanachama wa Zitto Kabwe mpaka kesho mnamo  majira ya saa nane mchana. Pata habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO AANIKA SIRI NYETI ZA MBOWE, MBOWE ASEMA NI UTOTO TU SOMA HAPA HABARI...

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, ameshusha tuhuma nzito dhidi ya Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, zikimhusisha na ufisadi.Hata hivyo, Mbowe naye amejibu tuhuma hizo akisema ni busara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA VIDEO MPYA YA YASINTA TALLY, MWANADADA ANAEWAKILISHA MWANZA VYEMA KWA...

Jiji la mwanza linasifika sana kwa kutoa vipaji vingi vinavyowakilisha mziki wa Hiphop, baadhi ya wasanii waliotokea mwanza na wanafanya poa sana ni Fid Q, Young Killer, Kala Jeremiah na wengine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AJITAMBULISHA RASMI KWA WAANDISHI WA HABARI...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,SACP Ahmed Msangi akizungumza na waandishi wa habari wa Mkoa wa Mbeya (hawapo pichani) alipowaita kwa kuijitambulisha kwao na kutoa taarifa ya matukio mbali mbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ITIZAME HAPA VIDEO YA WIMBO WA DIAMOND PLATNUMZ FEAT. DAVIDO - NUMBER ONE...

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA DKT WILLIAM...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, leo akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE JANUARY 07, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI    Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKONO ATOBOA SIRI ZA ZITTO

Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono.PICHA|MAKTABA  Dar es Salaam.Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono ametoa ufafanuzi juu ya uhusiano wake na Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema),...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GARI ILIYOMUUA PAUL WALKER ILIKUWA NA MWENDO KASI WA KILOMETA 160 KWA SAA

Gari iliyokuwa imembeba muigizaji wa "Fast and Furious"  Paul Walker ilikuwa ikikimbia mwendo kasi wa kilometa 160 kwa saa pindi ilipoanguka. Taarifa hiyo ilitolewa baada ya uchunguzi kukamilika. Mwili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU

 MAPENZI ni maisha ya kawaida ambayo wawili wanaotamkiana kupendana wanaishi. Kutamkiana kwa sababu si kila kitokacho kinywani kinaweza kuwa na maana ileile ya moyoni. Dhana nzima ya mapenzi haina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFUASI WA CHADEMA WATWANGANA TENA DAR

  Mfuasi wa Chadema akiwa chini baada ya ‘kukatwa mtama’ na mfuasi mwingine wa chama hicho baada ya kutokea vurugu baina ya wafuasi wanaounga mkono uongozi na wale wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTENDA AKITENDEWA HULALAMIKA

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USINGIZI HAUNA BAUNSA

Mwendesha pikipiki ya mataili matatu maarufu kama Bajaj ambaejina lake halikupatikana akiuchapa usingizi wakati alipokua akisubili abiria katika kituo cha Daladala cha Shekilango jijini Dar es laam...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO...

 Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI Maji yakiwa yamezunguka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: MAHAKAMA KUUU IMETENGUA MAAMUZI YA CHADEMA KUMJADILI ZITTO...

Zitto Kabwe akipeana mikono na Wakili wa CHADEMA,Tundu Lisu baada ya kukibwaga chake chake.Mahakama kuu ya Tanzania imetengua maamuzi ya Chadema ya kumvua madaraka Zitto Kabwe. Judge amesisitiza sana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABA AOMBA APATIWE ‘LIKES’ MILIONI 1 ZA FACEBOOK KAMA MAHARI YA KUMUOZA BINTI...

 Pesa haiwezi kununua penzi. Lakini ‘likes’ inaweza. Kama utani vile, mzee mmoja nchini Yemeni ametaka apate likes milioni 1 kwenye ukurasa wake wa Facebook ili amuoze binti yake.Salem Ayash, mtunzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MITIHANI INAYOWAKABILI WANAWAKE WANAPOPENDA PALE WASIPOPENDWA

 Linapokuja suala la kupenda kwa upande wa wanawake, kila mmoja anakuwa na vigezo vyake katika kumchagua mwenza hususan kwa sifa za nje. Inaweza kuwa ni maumbile ya mwili kwa maana ya unene, wembembe,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDIO MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOTOKEA NJE YA MAHAKAMA KUU WAKATI WA...

Vijana wakiwa wamebeba mabango nje ya mahakama kuu leo wakati wa hukumu wa kesi ya Zitto Kabwe.Ulinzi ulikuwa ni wakutosha mahakama kuu leo wakati wa  hukumu ya kesi ya Zitto KabweENDELEA KUTIZAMA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: MWANAMKE (MTANZANIA) ANASWA NA MADAWA YA KULEVYA UWANJA WA NDEGE WA...

 PICHA KUTOKA MAKTABAMWANAMKE wa Mtanzania, Salama Omari Mzale, amekamatwa jana- katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akisafirisha dawa za kulevya kwenda nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA FEDHA DUNIANI LIMEONYA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI DHIDI YA...

Mpango wa kuwa na sarafu moja kwa EAC unanuiwa kuafikiwa katika miaka kumi ijayo.Shirika la fedha duniani limeonya jumuiya ya Afrika Mashariki dhidi ya kuharakisha mpango wake wa kutaka kuwa na sarafu...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>