Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

UPDATES: MWANAMKE (MTANZANIA) ANASWA NA MADAWA YA KULEVYA UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU NYERERE

$
0
0
 PICHA KUTOKA MAKTABA

MWANAMKE wa Mtanzania, Salama Omari Mzale, amekamatwa jana- katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akisafirisha dawa za kulevya kwenda nchini China.
Hadi leo saa nane mchana amekwishatoa kete 27 kwa njia ya haja kubwa.Mwanamke huyo mkazi wa Mbagala Kongowe, anaendelea kutoa kete hizo katika vyoo vya Uwanja wa Ndege.Hadi saa 1 jioni (mida ya Tanzania); mwanamke huyu amekwishashusha kete 63!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>