Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA DKT WILLIAM MGIMWA LEO

$
0
0

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, leo akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa, leo Desemba 6, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua  wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa, leo.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete  na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima baada ya kuweka shada la maua   wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akimfariji Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa, leo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akimfariji  Mama mzazi wa  Marehemu wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa, leo.
 Mama Salma Kikwete   akimfariji Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa, leo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akimfariji  Mjane wa  Marehemu wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa, leo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiwapa mkono wa pole wananchi wa Kalenga  wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa, leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiwapa mkono wa pole machifu    wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa, leo. PICHA NA IKULU

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>