Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA YATOA MAELEZO KUUMIZWA KWA MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TEMEKE,...

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa mshtuko taarifa za tukio la kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Temeke, Josephat Yona Patrick. Chama kupitia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATANO JANUARY 08, 2014

MAGAZETI MENGINE YANAWAIJIA HIVI PUNDEPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KICHANGA CHAOKOLEWA NDANI YA SHIMO LA CHOO

 Nachingwea. Mtoto mchanga mwenye umri wa siku mbili amenusurika kufa baada ya mama yake mzazi, Hadija Pangani (29) Mkazi wa Kijiji cha Mpiruka Wilaya Nachingwea, Lindi kumfunga kwenye kiroba na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANCHESTER UNITED YAKUBALI KICHAPO CHA MABAO 2 KWA 1 KUTOKA KWA SUNDERLAND...

 Fabio Borini  akiifungia Sunderland goli la ushindi katika nusu fainali a kwanza ya Capital One Cup iliyochezwa usiku wa janaPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIIZA AFICHUA KILICHOMFUKUZISHA BRANDTS YANGA

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza amesema kuwa aliyekuwa kocha wao mkuu, Ernest Brandts amejitakia kufukuzwa kwenye timu hiyo inayojiandaa na Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa.Hiyo ni siku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATUA KALI ZICHUKULIWE MAJANGA YA MELI BAHARI YA HINDI

 Tunasema kitendo cha abiria kuruhusiwa kukaa juu ya boti, eneo ambalo ni hatari kwa usalama wao ni uzembe wa kiutendaji na hivyo wale wote waliokuwa wakisimamia boti hiyo wanapaswa kupelekwa kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYANDIO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA?

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOYES AKIRI MANCHESTER UNITED NI DHAIFU

 KOCHA, David Moyes,amekiri kwamba kikosi chake cha Manchester United kina udhaifu mkubwa. Ametamka hivyo baada ya kutupwa nje ya michuano ya Kombe la FA (Jan 5)Manchester United ilitupwa nje ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA AMFUKUZA MKANDARASI KATIKA MKOA WAKE

 Mkuu wa mkoa wa Rukwa injinia Stella Manyanya akizungumza wakati akikagua jengo hilo la bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Kasanga wilayani Kalambo. Kulia ni mhandisi wa ujenzi wa wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SMART TOOTHBRUSH: MSWAKI UNAOMPA TAARIFA MTUMIAJI KUPITIA SMARTPHONE WAKATI...

Wale mnaopenda vitu smart, kama smartphone, smartwatch, smarthome, sasa mnaletewa smart toothbrush, mswaki ambao unauwezo wa kutoa taarifa kwa mtumiaji kupitia simu ya mkononi.The Kolibree toothbrush...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

COMING SOON

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KISOMO CHA MAREHEMU ZAINAB BUZOHERA DMV

Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly akiongea kwenye kisomo cha mpendwa wetu Zainab Buzohera kulichofanyika jana Jumanne Jan 7, 2013 katika ukumbi wa mirage uliopo Langeley Park,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS JANUARY 09, 2014

MAGAZETI MENGINE YATAWAIJIA HIVI PUNDEPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABA WA MIAKA 54 AOA MTOTO WA MIAKA MINANE

 Bunda. Polisi Wilaya ya Bunda, wanamshikilia baba mwenye umri wa miaka 54 kwa tuhuma kuoa mwanafunzi wa kike wa umri wa miaka minane.Msimamizi wa Dawati la Jinsia katika Kituo Kikuu cha Polisi Bunda,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEST HAM YAPATAKICHAPO KIKALI KUTOKA KWA MAN CITY KWENYE KOMBE LA CAPITAL ONE...

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDIO MAVAZI YASIYOFAA KUVALIWA KWA WATUMISHI WA UMMA YATIZAME HAPA

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS VENEZUELA (2004) MONICA SPEAR AUAWA KWA KUPIGWA RISASI

Mshindi wa taji la urembo wa Venezuela mwaka 2004 (Miss Venezuela 2004) Monica Spear ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi jumatatu, January 6.Kwa mujibu wa The Associated Press, Majambazi hao pia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA MSIBA:ANNA JOHN MBONDE AMEFARIKI DUNIA

Familia ya Mkuu wa Wilaya Mstaafu wa Muleba ,Iringa  na Njombe ,ndugu John Pantaleon Mbonde wa Ilala Sharif Shamba Dar es Salaam anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Anna Mbonde.Marehemu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAOMBA RADHI KUJITOA MAPINDUZI

 UONGOZI wa Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam umeomba radhi kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kushindwa kushiriki katika michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea mjini hapa Zanzibar. Kauli hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA Y TONY MZEE WA MASEBENE NGOMA...

 Video nzima wamehusika watu watatu tu muimbaji na wacheza story wawili kutoka kushoto ni Kalisa anaefata ni yule mrembo wa kwenye video ya nainai ya ommy dimpozi Ney, Y tony mzee wa masebe na Pabro...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>