Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFANYABIASHARA APIGWA RISASI USONI NA KUPORWA MABEGI MAWILI YA HELA KARIAKOO...

 Damu ya Mfanyabiashara huyo ikiwa imetapakaa katika gari lake baada ya kupigwa risasi na majambazi waliompora kiasi kikubwa cha fedha na kutoweka.Raia wakishangaa mwili wa mfayabiashara huo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JANUARY 05, 2013

 ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIVU WA MAPENZI ULIVYOUA WENGI 2013

 Christina Alfred akiwa amejipumzisha nyumbani kwao Ilala baada ya kutoka hospitali kutibiwa jeraha la risasi. Picha ya Maktaba   Tumefunga mwaka 2013, milio mingi ya risasi ilisikika, watu walipigwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI YA KOMBE LA FA KWA MECHI ZILIZOCHEZWA JANA

 ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA PICHA ZA TANZANIA YA ENZI HIZO

Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947  Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!!  Dodoma City Center 1974 ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIShule Ya secondary Kisutu 1975 Jengo La...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TATIZO NI BEI YA UMEME

Bei ya umeme ilipanda tarehe mosi mwezi huu baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji(Ewura) kulikubalia Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kupandisha bei ya nishati hiyo kwa zaidiya asilimia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: BOTI YA MV KILIMANJARO II KUTOKA PEMBA KUELEKEA UNGUJA...

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema boti ya Kilimanjaro 2 iliyokuwa ikitoka Pemba kuelekea Ugunja inasemekana imepingwa na dhoruba kali na kunusurika kuzama, inadaiwa kuna vifo vimetokea. Ukweli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GIZA NENE LATANDA NDANI YA CHADEMA

Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema wakiwa katika kikao chao kilichomalizika jana Dar es Salaam. Picha na Salhim Shao Dar es Salaam. Giza nene limeendelea kutanda ndani ya Chama cha Demokrasia na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWA YA MALARIA YATUMIKA KUREMBESHA NYWELE

Dar es Salaam. Tabia ya kutumia vitu vyenye kemikali bila ya ushauri wa kitaalamu imeendelea kujijenga miongoni mwa Watanzania, ambapo sasa dawa ya malaria aina ya Metakelfin  inatumika kutengeneza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA HAPA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA

  Katibu Mkuu  ameanza kwa kuomba radhi kwa kuchelewa kuanza press akiungana na John Mnyika pia Katibu Mkuu anasema kuwa atasoma neno kwa neno kutokana na umuhimu wa hoja yenyewe! Ameanza kusoma na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTIZAME HAPA TRAN VAN HAY ALIYEVUNJA RECORD YA KUWA NA NYWELE NDEFU KULIKO...

 Tran Van Hay ni mzee ambaye ameweka record  kwenye kitabu cha Guinness kwa kuwa na nywele ndefu kuliko wote duniani. Alianza kufuga nywele takribani miaka 50 iliyopita. Kufuga nywele hizo alianza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE NA MAKAMU DKT. BILAL WAWAONGOZA WANANCHI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO...

 Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dkt. William Mgimwa, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATATU JANUARY 06, 2013

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA DMV WATOWA POLE KWA WAFIWA

 Rafiki wa mpendwa wetu Catherine Nyongole akishindwa kujizuia  mara tu alipomuaona mdogo wa marehemu Ngalu Buzohera alipofika nyumbani kwa marehemu kutoa pole na kujumuika nao katika kipindi hiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MATOKEO YA KOMBE LA FA KWA MECHI ZILIZOCHEZWA JANA

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DELFINA: NATOKA MACHOZI NA JASHO LA DAMU

  Delfina akilia machozi ya damu.  Dominica. Waswahili husema; matatizo hayapigi hodi. Ndivyo ilivyo siyo kwa waswahili tu, bali kwa binadamu wote.Miongoni mwa watu wanaoweza kuelezea vyema kauli hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANADMV WACHANGISHA DOLA 22,938 HARAMBEE YA MPENDWA WAO ZAINAB BUZOHERA

Mume wa marehemu Dullah na mdogo wa marehemu Ngalu Buzohera wakiwa kwenye harambee ya kuchangisha fedha za kusaidia kusafirisha mwili wa mpendwa wetu marehemu Zainab Buzohera aliyefariki Jumamosi Jan...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA YAWATIMUA DK KITILA, MWIGAMBA

 Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa akiandaa nyaraka za ushahidi dhidi ya viongozi waliofukuzwa kwenye chama hicho juzi, kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana. Kulia ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUSIMAMISHWA KWA KIUNGO ATHUMANI IDDI ‘CHUJI’ YANGA HUENDA NDIO UKAWA MWISHO...

KUSIMAMISHWA kwa kiungo Athumani Iddi ‘Chuji’ Yanga huenda ndio ukawa mwisho wake kuichezea klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa Twiga na Jangwani Dar es Salaam.Habari za kuaminika zilizopatikana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MV KILIMANJARO YAPATA AJALI ZANZIBAR, SITA WAFARIKI

WATU sita wamefariki dunia na wengine watatu kuokolewa katika boti ya abiria ya MV Kilimanjaro iliyokumbwa na dhoruba ya mawimbi makali kutokana na kuchafuka kwa hali ya hewa baharini.Ajali hiyo...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>