$ 0 0 Mwendesha pikipiki ya mataili matatu maarufu kama Bajaj ambaejina lake halikupatikana akiuchapa usingizi wakati alipokua akisubili abiria katika kituo cha Daladala cha Shekilango jijini Dar es laam jana.