Vijana wakiwa wamebeba mabango nje ya mahakama kuu leo wakati wa hukumu wa kesi ya Zitto Kabwe.
Ulinzi ulikuwa ni wakutosha mahakama kuu leo wakati wa hukumu ya kesi ya Zitto Kabwe
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Ni baadhi ya vijana wakiwa na mabango yanayoonesha ujumbe katika mahakama kuu wakati wa hukumu ya kesi ya Mh Zitto Kabwe
Hakuna mtu aliyeruhusiwa kuingia ndani ya mahakama labda kama una kibali maharumu
Polisi wakiwatawanya wafuasi wa chama cha CHADEMA waliofika mahakamani hapo