Luis Suarez (26) ambaye ni raia wa Uruguay akisaini mkataba wa kuichezea Liverpool kwa mkataba wa muda mrefu leo kwenye clabu ya timu hiyo yenye makazi yake Liverpool. Pia mchezaji huyo kaishaifungia timu yake ya Liverpool mabao 17 kwenye ligi kuu ya Uingereza.
Hapa ni furaha kwa Luis Suarez baada ya kusaini tena mkataba wa kuichezea livepool
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI