INSTAGRAM NI MTANDAO UNAOONESHA MAISHA YA UONGO NA KWELI
Ukiwa na roho nyepesi na mtu unayeumizwa roho kirahisi na maisha mazuri ya watu wengine, Instagram sio mtandao unaokufaa.Hata hivyo, usiamini kila picha unayoiona kwenye Instagram. Hii ni kwasababu...
View ArticleUPDATES: MOTO WAWAKA BUNGENI, KAGASHEKI AJIONDOA, NCHIMBI, NAHODHA NA MATHAYO...
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamisi Kagasheki amejiuzulu wadhifa wake baada ya mjadala mkali wa Bungeni mjini Dodoma.Hii inatokana na Operesheni Tokomeza iliyolenga kuondoa ujangili...
View ArticleYALIYOJIRI KWENYE UWANJA WA TAIFA YANGA YAKUBALI KICHAPO CHA MABAO 3-1 KUTOKA...
Mchezaji wa Timu ya Simba,Hamis Tambwe akipiga Mkwaju wa Penati uliokwenda moja kwa moja wavuni na kuiadikia timu yake bao la pili katika dakika ya 42 ya mcheo huu wa Nani Mtani Jembe unaoendelea hivi...
View ArticleMH. ZITTO KABWE ATUA MKOANI KIGOMA KWA KISHINDO, APOKEWA NA MAADAMANO MAKUBWA
Baaadhi ya Madreva bodaboda mkoani kigoma wakiongoza msafara wa mbunge wa kigoma kaskazini-Chadema Zitto Kabwe muda mfupu baada ya kuwasili Sehemu ya Vijana wakiandaman kwa furaha muda mfupi baada ya...
View ArticleSOMA HAPA HOTUBA YA MH ZITTO Z. KABWEKWENYE MKUTANO HUKO KIGOMA
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akiwahutubiwa wananchi wake leo.HOTUBA YA MH ZITTO Z. KABWE - KIGOMA – 21 DESEMBA 2013Leo nina furaha kubwa sana kwani baada ya safari ndefu na...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI DECEMBER 22, 2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA LIGI YA UINGEREZA KWA MECHI ZILIZOCHEZWA JANA DECEMBER...
ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO NA MSIMAMO WA LIGI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticlePINDA MAJI SHINGONI
Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Dar/mikoani. Watu wa kada mbalimbali wameupongeza uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa mawaziri wanne waliotajwa kushindwa kusimamia vizuri utekelezaji wa...
View ArticleHUU NI MTAZAMO:MWANAMKE; HIZI NDIZO DALILI 10 ZA MWANAUME ULIYE NAYE SI WAKO...
Wakati mwingine ni vigumu kuamini, lakini jambo hili huwatokea wanawake wengi kwamba wanaume wanaotoka nao kuna uwezekano mkubwa wakawa wanatoka na wanawake wengine kwa nyakati tofauti na hufanya hivyo...
View ArticleSISI TUTAWACHORA TU
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleDK. SLAA AMSHINDILIA PROF. MUHONGO KUHUSU VITALU VYA GESI
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbroad Slaa, amelaani kitendo cha Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo cha kukumbatia wawekezaji wa nje katika...
View ArticleKWENYE UKURASA WA FACEBOOK WA MH. ZITTO KABWE AMEANDIKA KUWA WAZIRI MKUU AMPE...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMH. LOWASSA ASHIRIKI TAMASHA LA WAENDESHA BODABODA JIJINI DAR LEO
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwaaga Vijana wa Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati alipokuwa akiondoka viwanjani hapo huku shangwe zikitawala viwanjani...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA PICHA BAADA YA MH.ZITTO KABWE KUWASILI KASULU LEO NA...
Mbunge wa kigoma akiwa anasalimia wakazi wa kasulu leo,huku umati wa watu ukimfurahiaMwami Zitto Ruyagwa Kabwe, Kasulu baada ya kuvikwa cheo cha kimilaENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU DECEMBER 23,2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePOLISI WAKIRI MAKOSA OPERESHENI TOKOMEZA
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Isaya MunguluJESHI la Polisi, limekuwa la kwanza kati ya taasisi saba zinazohusika moja kwa moja, kukiri udhaifu katika utekelezaji wa Operesheni Tokomeza...
View ArticleKASEBA AMCHAKAZA ALIBABA KWA K.O. RAUNDI YA 4
Bondia Japhert Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Alibaba Ramadhani wakati wa kugombania ubingwa wa Taifa uliofanyika Manzese Dar es salaam Kaseba alishinda kwa KO ya raundi ya...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA LIGI YA UINGEREZA KWA MECHI ZILIZOCOHEZWA JANA...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleKASEJA, MANJI WAWAFARIJI MASHABIKI YANGA
KIPA wa Yanga, Juma Kaseja amesema kukaa nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi minne kulichangia kupunguza ufanisi wake uwanjani wakati wa mechi dhidi ya Simba Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi...
View ArticleSEGEREA VETERANS WAFANYA BONANZA YA KUMKUMBUKA MCHEZAJI MWENZAO ALIYEFIA...
Marehemu Jacob Arid kwa jina maarufu Oming'o enzi za uhai wakeFamilia ya Marehemu Oming'o ikiwa uwanjani wakati wa bonanza lililopewa jina la OMING'O SOCCER BONANZA kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu...
View Article