Wakati waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dr. Emmanuel Nchimbi alikuwa wa pili na wa Ulinzi akiwa wa kwanza kwa kuitwa na spika kuwa wa kwanza kuzungumza lakini ikaonekana wameingia mitini na kuitwa kwa waziri wa utalii na maliasili ndugu Balozi Hamisi Kaghasheki Waziri wa Maliasiri na utalii atangaza kujiuzuru rasmi akiwa ndani ya Bunge. Asema yeye ni mtu mzima na kasikia mengi, kateuliwa na rais kwa matakwa ya rais na hakuomba hivyo ana resign. Mathayo yeye anadai ameshutumiwa mambo mengi kama sena na mgumo vyote vipo ila hakuhojiwa katika swala lolote , adai tatizo ni mfumo na swala la ardhi liko chini ya wizara ya ardhi na si wizara ya ardhi. Na swala la mifugo na majosho ni swala la halmashauri na si wizara ya mifugo yeye anaonewa tu. Asema hajawahi kupewa fedha za bajeti kama anavyoomba ajilinganisha na Yesu kuwa anasurubiwa lakini hana hatia.
↧