Miamba pembezoni mwa ziwa nyasa
Safu ya milima ya Livingstone iliyoko mwambao wa ziwa nyasa
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFY HAPA CHINI
Miamba iliyoko kata ya Lumbila ambako kihistoria ni wilaya ya kwanza kwa wakoloni iko wilaya ya Ludewa
miamba ambayo ni vivutio kwa watalii wilayani ludewa mwambao wa ziwa nyasa
Hii ni moja ya miamba inayopatikana ziwa nyasa ambayo ni vivutio vya watalii,maeneo haya ni mazalia ya samaki ambapo wavuvi wengi hupenda kuvua kutokana na upatikanaji mkubwa wa kila aina ya samaki.
Safu ya milima livingstone iliyoko wilaya ya Ludewa
PICHA NA MALIASILI ZETU