1.Gereza la Diyarbakır ili ni gereza linalopatikana kusuni mashariki mwa nchi ya Uturuki na gereza hili lilimalizika kujengwa September 12, 1980 na hili ndilo gereza namba moja duniani kwa kutisha
2. Gereza la Black Beach ili nimepewa namba mbili linapatikana kwenye kisiwa cha Bioko kilichopo kwenye mji wa Malabo nchini Equatorial Guinea. Gereza hili linachukua namaba moja katika bara la Afrika kwani ni hatari sana maana kuua katika gereza hilo ni kitu cha kawaida
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
3. Gereza la Gitarama linapatikana katikati mwa nchi ya Rwanda gereza hili linachukua namba tatu duniani.
4. Gereza la Tadmor ni gereza linalopatikana kwenye mji waTadmur ulioko kwenye jangwa mashariki mwa Syria.Gereza hili lilijengwa kwenye miaka ya 1980.
5. Gereza la Carandiru Penitentiary
6. Gereza la Bang Kwang
7. Gereza la La Sante Penitentiary
8. Gereza la Petak Island
9. Gereza la Camp 22
10. Gereza la Sabaneta
SOURCE: DAILY MAIL