Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIZI NDIZO MECHI ZA LIGI YAUINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAPILI DECEMBER 15,...

 Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


TAZAMA VIDEO LIVE HAPA KATIKA MATUKIO YA MAZISHI YA NELSON MANDELA...

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO ANG’ANG’ANIWA

*Mahasimu wamvaa ndani na nje ya Chadema*Atamba kuushangaza mtandao unaomwinda*Katibu wa Bunge amtetea, ampinga WeremaJINA la Zitto Kabwe, mwanasiasa kijana ambaye mvumo wa sifa zake umechukua mwelekeo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS:ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM MWANZA CLEMENT MABINA AUWAWA NA...

Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza MABINA ameuwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe huko maeneo ya Kiseke jijini Mwanza.Chanzo cha kuuwawa ni kwamba mabina aliwanyang'anya ardhi...

View Article

HII NDIO HOTUBA YA RAIS KIKWETE KATIKA MAZISHI YA NELSON MANDELA ILIYOSIFIWA...

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATATU DECEMBER 16, 2013

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BASI LA CHAMPION LAPINDUKA NA KUSABABISHA MAJERUHI 29 KATIKA MLIMA CHIMWAGA...

Gari lenye namba za usajili T 704 ADR  aina ya Scania bus la kampuni ya CHAMPION.Gari lenye namba za usajili T 704 ADR  aina ya Scania bus la kampuni ya CHAMPION lillokuwa likiendeshwa na dereva ALLY...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KATIKA PICHA KWENYE MAZISHI YA NELSON MANDELA YALIYOFANYIKA JANA...

Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela Jumapili hii amezikwa kijijini kwake alikozaliwa, Qunu katika jimbo la Eastern Cape nchini Afika Kusini katika mazishi yaliyohudhuriwa na watu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA MATOKEO YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA DECEMBER 15...

TAZAMA MSIMAMO WA LIGI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHINA YAPELEKA CHOMBO MWEZINI KWA MARA YA KWANZA TANGU MIAKA 37 ILIYOPITA

China imetangaza kupeleka chombo kisichokuwa na binadamu mwezini kilichotua kwa mafanikio kwa mara ya kwanza tangu miaka 37 iliyopita.Hiyo ni mara ya kwanza China kufanya hivyo na kuifanya kuwa nchi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO: HIVI HIZI PESA BADO ZINATUMIKA NCHI NCHINI TANZANIA?

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AICHOMA NYUMBA YAKE KISA WIVU WA MAPENZI HUKO SEGEREA JIJINI DAR

Nyumba ya familia moja huko mtaa wa Ugombolwa Kata ya Segerea jijini Dar imeteketezwa kwa moto usiku wa kuamkia leo mara baada ya baba wa familia hiyo kuhisi kuwa mke wake ana mahusiano ya kimapenzi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPA KAZI IPO HII NI RATIBA YA 16 BORA KWENYE EUFA CHAMPIONS LEAGUE TIZAMA...

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: KOCHA WA SPURS AFUNGIWA VIRAGO BAADA YA VICHAPO VINGI

Kocha Andre Villa Boas ametimuliwa kazi ya kuinoa Tottenham Hotspur.Kocha huyo raia wa Ureno ametimuliwa baada ya timu yake kupokea kipigo cha mabao 5-0 kutoka kwa Liverpool iliyochezwa December 15,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BASI LA BUKOBA EXPRESS LAPATA AJALI MAENEO YA ISAKA KAHAMA

MUONEKANO WA BASI LA BUKOBA EXPRESS  T 315 BLC  BAADA YA KUANGUKA WILAYANI KAHAMA. BASI LILIKUWA LINATOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA MKOANI BUKOBA.KWA TAARIFA ZA HARAKA HAMNA VIFO VYA WATU BALI KUNA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMSUNG NA APPLE WAPATA MPINZANI WA UKWELI, NI PADFONE YA KAMPUNI YA ASUS

PadfoneLinapokuja suala la soko la smartphone nchini Marekani, mara nyingi huwa ni mbio za farasi wawili tu, Apple na Samsung huku makampuni kama HTC na Motorola wakipigania soko kiduchu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF YABEBA TAMASHA LA UTAMADUNI HANDENI 2013

MSIMU wa kwanza wa Tamasha la Utamaduni Handeni, lililokuwa  likisubiriwa kwa hamu hatimaye lilifanyika Juzi, wilayani Handeni  Tanga  ambapo kama ilivyokuwa ikitarajiwa, Shirika la Taifa la mfuko wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WA CCM WAWAKALIA KOONI MAWAZIRI MIZIGO

Dodoma/Dar es Salaam. Wabunge 160 wa CCM wamejiorodhesha kuomba kuitishwa kwa kikao cha Kamati ya Wabunge hao kwa lengo la kuwajadili mawaziri wanaotajwa kuwa mizigo.Pia wabunge hao wanataka Katibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAY C: WAKATI NAUMWA SIKUWAHI KUPIGIWA SIMU NA MSANII MWENZANGU HATA MMOJA

Rehema Chalamila aka Ray C jana alifunguka kupitia kipindi cha Mkasi jinsi ambavyo wasanii wenzake walimtenga wakati alipokuwa amelazwa hospitali kupatiwa matibabu ya ‘uraibu’ (addiction) wa madawa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU SABA WATIWA MBARONI MAUAJI YA MABINA WA CCM

Watu saba  wanashikiliwa na Jeshi  la  kwa tuhuma  za mauaji  ya aliyekuwa Mwenyekiti  wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Clement  Mabina (56 - pichani). Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo,...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>