$ 0 0 Watu watano wanahofiwa kufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Land Rover kusombwa na maji katika daraja kwenye Kijiji cha Dolomoni, Iramba Mkoani Singida.