Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

DAR EXPRESS LAPINDUKA DEREVA NA KONDA WANUSURIKA KIFO MAENEO YA KIJIJI CHA MANGA MKOANI TANGA

$
0
0
 BASI lenye namba ya usajili T848 ASZ lilipinduka baada ya kuacha barabara na kuingia vichakani wakati lilipokuwa likivutwa baada ya kuharibika, Ajali hii ilitokea katika kijiji chaManga Mkoani Tanga barabara ya kutoka Dar kuelekea Tanga, Inasemekana halikuwa na abiria yeyote ni Dereva na Konda tu ndio waliyonusurika kifo katika ajali hiyo. 

PICHA NA MASAINYOTAMBOVU

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>