BOMU LAOKOTWA KAMBI YA WAPIGANIA UHURU WA WA AFRIKA KUSINI MOROGORO
Bomu ambalo liliokotwa na mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya sekondari Mji Mpya Emmanuel Stanley jirani na kambi hiyo ya zamni ya wakimbi wa Afrika kusini.. Mwanafunzi wa kidato cha tatu...
View ArticleRWANDA - INGABIRE KUFUNGWA MIAKA 15 JELA
Mahakama ya juu zaidi nchini Rwanda imeendeleza hukumu ya kwanza aliyopewa kiongozi wa upinzani nchini humo Victoire Ingabire na kuiongeza kutoka miaka 8 hadi 15.Awali mwezi Oktoba, bi Ingabire ambaye...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI DECEMBER 14, 2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO DECEMBER 14, 2013
ENDELEA KUTIZAMA MECHI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleHALI TETE BARAZA LA MAWAZIRI
Rais Kikwete akiendesha kikao cha baraza la Mawaziri siku za hivi karibuni. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete, imeanza kuwahoji mawaziri waliotajwa ni...
View ArticleWIVU WA MAPENZI NA UKATILI WA KIJINSIA: MAMA MMOJA AMWAGIWA MAJI YA MOTO...
Muuguzi wa zamu Bi. Neema Bayo akimfunika majeruhi Bi. Neema Teti aliyemwagiwa maji ya moto mwili mzima, kwa kudaiwa kuwa na uhusiano na mume wa mtu.Bi. Neema Teti aliyemwagiwa maji ya moto mwili...
View ArticleZuRii BOUTIQUE CHRISTMAS SALE STARTS THIS SUNDAY 15 DEC 2013.
The Zurii Fashion & Beauty Boutique Christmas sale starts this Sunday 15 December 2013. Don't miss a trick with ZuRii massive Clearance goodies. We've got great bargains of up to 50% off. Be the...
View ArticleMAPYA YAIBUKA KUHUSU MKALIMANI ‘FEKI’ WA AFRIKA KUSINI, YADAIWA ALIWAHI...
Pamoja ni kiasi kidogo cha pesa alicholipwa ($85) kwa kazi ya kutafsiri (kwa ishara za uongo) hotuba za viongozi wakati wa hafla ya kumbukumbu ya Nelson Mandela jijini Johannesburg, Afrika Kusini...
View ArticlePICHA YA LEO: WAZIRI CHIZA NJE YA UKUMBI WA NEC DODOMA
Waziri wa kilimo na chakula Christoper Chiza akibadilishana mawazo mbunge wa kuteuliwa Rose Migilo Nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma mara baada ya kumalizika kwa kikao cha kamati kuu ya chama cha...
View ArticleYANAYOENDELEA KUJIRI KWENYE MKUTANO WA TAHLISO 2013/2014
Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi ya TAHLISO wakiwa katika picha ya Pamoja Mwenyekiti wa Muda aliyeratibu upatikanaji wa tume Bi. Teddy Ladislaus ( Makamu wa Rais wa Chuo cha Mzumbe)...
View ArticleSIKU YA MWISHO YA KUUGA MWILI WA MANDELA, WATU 100,000 WAJITOKEZA, WENGINE...
Watu waliojipanga mitaani wakati mwili ukipelekwa Union Buildings kuagwa siku ya mwishoJana ndiyo ilikuwa siku ya mwisho kwa wananchi wa Afrika Kusini na wageni kutoa heshima zao za mwisho kwa Rais wa...
View ArticleMABINTI WAWILI WADAKWA NA DAWA ZA KULEVYA UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU NYERERE
Polisi imewakamata wasichana wawili wa Kitanzania katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam, wakiwa na zaidi ya pipi 187 walizokuwa wamezimeza za madawa ya kulevya kwa ajili...
View ArticleARSENAL YAKUTANA NA KIPIGO CHA MBWA MWIZI KUTOKA KWA MAN CITY
Vinara wa Ligi Kuu ya England, Arsenal wamekutana na kipigo kikali kutoka kwa Manchester City cha mabao 6-3 katika mechi iliyochezwa leo kwenye Uwanja wa Etihad jijini Manchester. Kutokana na kipigo...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI DECEMBER 15, 2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA PICHA KWENYE MAHAFALI YA 19 YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI...
Meza kuuMahafali ya 19 ya chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) yamefanyika ijumaa ya desemba 13 mwaka hu ambapo wahitimu katika ngazi za stashahada na cheti kwenye fani ya uandishi wa...
View ArticleTAZAMA MATOKEO YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA JUMAMOSI...
ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticleMACHO YOTE QUNU: BURIANI TATA MADIBA
Jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa Rais wa Kwanza Mzalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela lilipofikishwa Uwanja wa Ndege wa Mthatha jana. Maziko yanafanyika leo kijijini kwao, Qunu kwa taratibu za...
View ArticleLULU ADAI KUKOSESHWA AMANI NA SIMU YAKE,SIIHITAJI KWA SASA
Muigizaji wa filamu nchini Elizabeth Michael aka Lulu, amesema kuwa hatamani tena kutumia simu ya mkononi kwakuwa anasumbuliwa mno na watu wasiokuwa na mambo ya msingi huku akitamani irudi enzi ya...
View ArticleBREAKING NEWS: WATU 5 WAFARIKI BAADA YA KUTOKEA SHAMBULIZI KWENYE GARI LA...
Watu kadhaa wamehofiwa kufariki kufuatia mlipuko uliotokea ndani ya gari moja dogo la abiria katika mtaa wa Pangani mjini Nairobi.Duru zinaarifu kuwa karibu watu 4 huenda wamefriki katika shambulizi...
View ArticleMANDELA KUZIKWA JIRANI NA MAKABURI YA WAZAZI WAKE NA MWANAE WA KIUME
Jeneza la Mandela likitolewa katika ndege ya kijeshi iliyompeleka nyumbani kijijini Qunu.Mwili wa hayati Nelson Mandela umepelekwa katika mkoa wa Eastern Cape kwa safari ya mwisho kabla ya kuzikwa...
View Article