MUONEKANO WA BASI LA BUKOBA EXPRESS T 315 BLC BAADA YA KUANGUKA WILAYANI KAHAMA. BASI LILIKUWA LINATOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA MKOANI BUKOBA.KWA TAARIFA ZA HARAKA HAMNA VIFO VYA WATU BALI KUNA MAJERUHI 31 OCD AMETHIBITISHA HILI.
↧