Waziri wa kilimo na chakula Christoper Chiza akibadilishana mawazo mbunge wa kuteuliwa Rose Migilo Nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma mara baada ya kumalizika kwa kikao cha kamati kuu ya chama cha mapinduzi (CCM) kilichofanyika Jana Waziri huyo alitakiwa kujieleza mbele ya kamati hiyo. PICHA NA JOHN BANDA
↧