Meza kuu
Mahafali ya 19 ya chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) yamefanyika ijumaa ya desemba 13 mwaka hu ambapo wahitimu katika ngazi za stashahada na cheti kwenye fani ya uandishi wa habari na mawaziliano ya umma, na mahuasiano ya umma wamehitimu.
Kutoka kushoto ni Fabian, Dotto Mandolin Kahindi, Abushehe Nondo, Benjamin Mwangoka
Baadhi ya wahitimu wakiwa na furaha wakati wa mahafari yao
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO ZAIDI KWA KUBOFA HAPA CHINI
Mkuu wa Chuo cha DSJ, Joachim Rupepo
Thabitha
Zohra Maliza akiwa na Fred Njeje kutoka Tone Multmedia Group
Dotto Kahindi na Fred
Dotto na mdogo wake Gibson Kahindi
Bakari Ngamba, Dotto, Gibson
Fred and Dafi
Narekodi mkanda wa shukrani
Mkono wa heri
Thabitha na Fred
Dotto, Abushehe Nondo, Ibrahim Yamola na Juliana Malondo
Bakari na Gibson
Rais Mstaafu wa DASJOSO Alfred Ochali akisoma risala
Angel, Janeth na Glad
Kwaito time
Jimmy, Janeth, Ikupa, Glad, Grace, Edger na Benjamini (aliyechuchumaa)
Mgeni rasmi na pamoja na viongozi wakuu wa chuo wakiwasili ukumbini
Anifa, Grace, Zola na Cartace
Janeth na Glad