Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OBAMA ATIKISA MSIBANI

Licha ya kuwa ni siku ya huzuni kwa dunia nzima, hotuba ya Rais wa Marekani, Barack Obama imewagusa maelfu ya watu waliokuwa kwenye Uwanja wa FNB katika ibada ya kitaifa kumwaga Rais wa zamani wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIKAO VYA TAHLISO VIMEANZA RASMI JANA (11/12/2013)KATIKA CHUO KIKUU CHA...

 Rais wa Chuo cha Elimu ya Biashara  (CBE) Kampasi ya Dodoma  Bw. Remidius  Emmanuel (wa kwanza kutoka kulia) akifuatilia mwenendo wa kikao hicho,Pembeni ni Bw. Antony Mapande Rais wa chuo kikuu cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZIMIO LA KUWATAKA GHASIA, MWANRI NA MAJALIWA KUJIPIMA LAPITISHWA

Dodoma.Bunge limepitisha azimio la kuwataka mawaziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), kujipima iwapo wanatosha kuendelea kuongoza wizara hiyo nyeti.Azimio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUSTIN BIEBER AWATEMBELEA WAATHIRIKA WA KIMBUNGA HUKO UFILIPINO

 Mwimbaji wa ‘Baby’ Justin Bieber, Jumanne wiki hii alienda Ufilipino kuwatembelea watu walioathirika na kimbunga kilichosababisha wengi kupoteza maisha, pamoja na hasara kubwa kwa nchi hiyo hivi...

View Article

TAZAMA HAPA VIDEO YA SHUGHULI NZIMA YA KUAGWA KWA MWILI WA HAYATI MZEE NELSON...

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJERUHI WALIOPATA AJALI KWENYE BASI LA BURUDANI WAPELEKWA HOSPITALINI...

Hospitali ya wilaya ya Korogwe.Basi la Burudani leo limepata ajali maeneo ya Kabuku - Korogwe , watu 12 hadi sasa wamefariki na majeruhi zaidi ya 55. Watu 4 wamepelekwa MOI na KCMC. Tuwaombee...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPA VIPI?

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA DECEMBER 13, 2013

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKALIMANI ‘FEKI’ KATIKA HAFLA YA KUMBUKUMBU YA MANDELA AOMBA RADHI, ADAI...

 Mkalimani wa alama za viziwi katika hafla ya kumbukumbu ya Mandela iliyofanyika Jumanne wiki hii (Dec 10) afahamika. Anaitwa Thamsanqa Jantjie, 34. Mkalimani huyo ameomba radhi kwa kile kilichotokea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA: NIPO TAYARI KUNG’OLEWA NIKIBAINIKA NI MZIGO

“Sisi tunangoja arudi (Kinana) tukae naye ili tujue alichokuwa anasema hasa ni nini na ninaamini alikuwa na baadhi ya wizara kichwani kwake,” alisema Pinda bungeni jana.PICHA|MAKTABA Dodoma.Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NI MAMBO MADOGO YENYE THAMANI KUBWA KWENYE MAPENZI!

KUNA mambo ambayo yanaweza kuonekana ya kawaida tu au si ya lazima sana lakini kumbe yana uzito na thamani kubwa sana kwenye uhusiano. Wengi wakitaka kufanya jambo la kumfurahisha mpenzi wake, huwaza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU 6 WAFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKIWA NA NGEMA WAKICHIMBA KIFUSI MKOANI...

 Wananchi wakijaribu kufukua udongo ili kuopoa  miili ya watu walofukiwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumwani wilaya ya Moshi vijijini huku wananchi wengine wakishuhudia Uongozi wa mkoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASTER J AFUNGUKA, ASEMA WASANII WA BONGO NI WEZI WANAOWANYONYA MAPRODUCER

CEO wa MJ Records na mtayarishaji nguli wa muziki nchini, Joachim Kimaryo aka Master J anafahamika kwa kutouma maneno pale anapoamua kufunguka yaliyo ndani ya moyo wake.Akihojiwa kwenye kipindi cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA TOURIST BOARD 2013 AWARDS PRESENTATION

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, Mhe. January Makamba akiongea machache kuwashukuru Mbalozi wa wa Utalii wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumatano, Dec 11, 2013 kwenye Ubalozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGOMA AFRICA BAND YENYE MVUTO WA AJABU ! NA MAELFU YA WASHABIKI BARANI ULAYA

Ngoma Africa Band  aka FFU ghaibuni          “The Golden Voice of East Africa”  Ngoma Africa band yenye mvuto wa ajabu ! na maelfu ya washabiki barani ulaya ! inafananishwa kuwa muzimu wa muziki wenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NATIONAL GEOGRAPHIC WASHINGTON, DC YAFAGILIA MBUGA ZA WANYAMA ZA TANZANIA

National Geographic ya Washington, DC siku ya Jumatano, Dec 11, 2913 walionyesha vivutio mbalimbali vilivyopo kwenye mbuga zetu za wanyama kwa wahudhuriaji ambao wengi wao walikua Wamarekani pia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RICH MAVOKO ATOLEWA MACHOZI NA MAMA SHARO ANAYEDAI KUDHULUMIWA HAKI ZA MWANAE

Muimbaji wa Roho Yangu, Rich Mavoko amemtembelea mama mzazi wa marehemu Sharo Milionea huko wilayani Muheza Tanga. Mavoko ameshare picha akiwa na mama mzazi wa msanii huyo aliyefariki November mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: LOWASSA ANUSURIKA KATIKA AJALI YA NDEGE JIJINI ARUSHA LEO

Habari zimetujia sasa hivi zinasema abiria kadhaa akiwemo Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli  Mh Edward Lowassa wamenusurika kifo, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kuwa pasuka matairi yote...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIO PETE AINA YA SMARTY RING INAYOUNGANISHWA NA SMARTPHONE KWA...

‘Smarty Ring’, ni pete inayounganishwa na smartphone kwa bluetooth, na kumuwezesha mtumiaji ku-control simu yake hata ikiwa mbali na yeye. Pamoja na kuwepo Smartwatches sokoni, sasa kuna pete inayoweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO: BAADA YA KUPONA SASA UFO SARO YUKO KAZINI

Mwandishi wa habari wa ITV Ufoo Saro akiuliza swali wakati wa mkutano wa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.Picha na Frank Shija Pata...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>