Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA MAJI ATANGAZA KUWAFILISI WALIOSHIKWA KWA WIZI WA MAJI JIJINI DAR

Meneja Mkuu wa Kampuni ya ufyatuaji matofali ya Ujenzi Solutions, ya Kimara kwa Msuguri, Dar es Salaam, Rahim Hamis na mfanyabiashara wa kampuni isiyo na jina, Credo Rajab (kulia) wakiwa chini ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BLATTER ASHANGAZWA KUONA MESSI AMESHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA

Rais wa Fifa Sepp Blatter amesema ameshangazwa kuwa Lionel Messi alishinda tuzo ya mchezaji bora – Golden Ball Award- katika Kombe la Dunia.Messi, 27, alitajwa kuwa mchezaji bora wa michuano hiyo licha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANACPC WASHIKANA UCHAWI MKOANI DODOMA

 Mkurugenzi wa umoja wa Club za waandishi wa habari Tanzania (UTPC) Abubabari Karsan akifafanua mambo mbalimbali mbele ya wanachama wa Centrol Press Club (CPC) wakati wa mkutano mkuu maarumu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBC YAFANYA HALFA YA KUHITIMISHA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2014, DAR

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana (kulia) akiwakaribisha wageni walioalikwa katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRADI WA MIL 700/- WA MATUMIZI YA RASILIMALI ENDELEVU USAMBARA WAANZA

Afisa Mradi wa uchumi wa kijani ndani ya hifadhi hai (GEBR) Kitengo cha Sayansi kutoka UNESCO na mwakilishi wa KOICA, Myoung Su Ko, (kulia) akisalimiana na Mtendaji wa Kata ya Mnyuzi, Bw. Gosbert...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISSIE POPULAR BLOG YAMTAMBULISHA MODEL WAKE

Young, beautiful and quite a fresh face....Yes, this is Christine,our new model! You recently saw these two images of her posing as the model she is....BUT... Have you met Christine as the young lady...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA VIDEO YA MTOTO ALIYEKUFA NA AKAFUFUKA WAKATI ANAPELEKWA KUZIKWA

Waombolezaji nchini Ufilipino walipatwa na mshituko, pale mtoto wa miaka mitatu aliyekuwa amekufa na kuzinduka wakati wanampeleka mazikoni.Kwa mujibu wa mtandao wa Mirror mtoto huyo kutoka Aurora,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATANO JULAI 16,2014

    BOFYA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE                Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFUASI WA CCM NA CHADEMA NUSURA WAZICHAPE KWENYE MKUTANO WA NAIBU WAZIRI WA...

 Wafuasi wa CCM na Chadema wakitaka kuzipiga kavu kavu baada ya kutokea mzozo ambapo wanaCCM walikuwa wakimzomea Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika  akihutubia na WanaChadema wakimzomea Naibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: TIMU YA UJERUMANI YAPOKELEWA KWA SHANGWE NCHINI KWAO

Mashabiki wa soka nchini Ujerumani wamejitokeza mjini Berlin kuwalaki wachezaji wa timu ya taifa walioshinda Kombe la Dunia. Sherehe kubwa zimefanyika katika eneo la Brandenburg Gate, ambapo wachezaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNAIJUA BIASHARA YA MTANDAO? HII NI SIRI NZITO USIYOIJUA

Biashara ya mtandao – hii ni biashara tofauti na watu kama Facebook, Zoom, matangazo ya kulipia au tovuti na barua pepe. Biashara hii au mfumo huu ambao unaitwa ujasiriamali, mara nyingi si halisi kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RPC MKOA WA DODOMA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA TARAFA NNE ZA WILAYA YA CHEMBA...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma DAVID MISIME - SACP akielekeza jambo katika ukaguzi wake Mkaguzi wa Tarafa ya Goima A.Insp Msika akisoma taarifa kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma DAVID MISIME -...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA HABARI,VIJANA,NA MICHEZO AZINDUA RASMI KITABU CHA...

 Mwina Kaduguda Mtunzi wa kitabu cha "HISTORIA YA SIMBA" akielezea kwa kina Magumu gani amepitia wakati anaanza kuandaa kitabu hicho,Wa kwanza Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGOMA AFRICA BAND AKA FFU KUTUMBUIZA 5TH INTERN.AFRICAN FESTIVAL TUBINGEN

Tubingen,Ujerumani,Washabiki na wadau wa muziki nchini ujerumani wanatarajia kujimwaga katika maonyesho ya 5th International African Festival Tubingen 2014,Ujerumani, yanayoanza wiki hii 17.Julai 2014...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPYAAAA: TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014

                       Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka.Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI LEO ALHAMIS JULAI 17, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: NDEGE NYINGINE YA MALAYSIA YAANGUKA, YAUA WATU 295

Ndege ya Shirika la ndege ya Malaysia yenye namba MH17 imeanguka mpakani mwa Ukraine ya Urusi ikitokea Uholanzi kwenye uwanja wa Amsterdam. Ndege hiyo imeua abiria wote 295 waliokuwa kwenye ndege hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJERUMANI YASHIKA NAMBA 1 KWENYE VIWANGO VYA FIFA, ARGENTINA, UHOLANZI...

Mabingwa wa kombe la dunia 2014 timu ya Ujerumani imeshika namba moja katika msimamo wa viwango vya FIFA vilivyotolewa leo (July 17), ambapo Argentina ni ya pili, na Uhoanzi ni ya tatu.Ujerumani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INASIKITISHA SANA: LORI LA MIZIGO LAGONGA BAR NA KUUA WATU WATANO PAPO HAPO...

 Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ajali hiyo baada ya kutokea  Lori la Mizigo likiwa limepaki katikati ya kilabu hicho cha pombe ambacho kilisambalatishwa chote na chini ni mabaki ya kilabu hicho.ENDELEA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUHUMIWA 16 WANAODAIWA KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UGAIDI WAPANDISHWA...

Baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kujihusisha na vitendo vya ugaidi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakisindikizwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>