MOTO MKUBWA WAZUKA NA KUTEKETEZA MADUKA KATIKA SOKO LA MITUMBA JAMATINI...
Baadhi ya watu wa mji wa Dodoma wakisaidia kuzima moto uliokuwaukiendelea kuteketeza mabanda ya wafanyabiashara katika soko la mitumba la jamatini maarufu kama Sarafina baada ya moto huo kuzuka...
View ArticleSKYLIGHT BAND WAENDELEA KUTOA BURUDANI YA KIPEKEE NDANI YA THAI VILLAGE HUKU...
Meneja wa Bendi Aneth Kushaba AK47 kwenye hisia kali wakati akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku Hashim Donode akipiga back vocal. TUKUTANE...
View ArticleSTEVE NYERERE AWAANDALIA CHAKULA CHA JIONI WASANII WA FILAMU NA WADAU
Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere akizungumza machache wakati wa hafla aliyowakaribisha chakula cha jioni wasanii wa Filamu na wadau mbalimbali wa filamu Bongo ikiwa ni kuungana na wenzao...
View ArticleWERUWERU ALUMNI IN THE DIASPORA
Now, we have been receiving lots of inquiries on how the Weruweru Alumni community living outside of Tanzania, can get access to the Khanga, Tshirts and Mugz of Weruweru Alumni?! ...Today,let me help...
View ArticleMSHIRIKI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) AZIMIA JUKWAANI MARA BAADA YA...
Baadhi ya Washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambao wapo kwenye Maumivu ya kuchomwa na Jua la Utosi Wakimpa huduma ya Kwanza Mmoja wa Washiriki mwenzao ambae alipoteza fahamu jukwaani...
View ArticleJAPANI YASAIDIA WAKIMBIZI TANZANIA
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mh. Mathias Chikawe akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa WFP nchini Bw.Richard Ragan (katikati) mara baaada ya kuwasili kwenye hafla fupi ya kukabidhi msaada...
View ArticleCHEKA APANDISHWA KIZIMBANI BAADA YA TUHUMA ZA KUMPIGA MENEJA WAKE
Bondia wa ngumi za kulipwa anayeshikilia mkanda wa WBF, Francis Cheka, amepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro, akikabiliwa na shtaka la shambulio la kudhuru mwili na...
View ArticleMAMA WA WATOTO NJITI MAPACHA ASHUKURU WALIOMSAIDIA
Fatuma akiwa na watoto wake baada ya kupatiwa fedha na kununua mahitaji ya watoto.KUFUATIA mtandao wetu kuandika habari iliyokuwa inasema “Watoto njiti mapacha watelekezwa na baba yao’’, hatimaye...
View ArticleGARI AINA YA FORD EXPEDITION V8 INUZWA
MAKER: FORDMODEL: FORD EXPEDITION V8YoM: 2000CC: 5400COLOR: SILVERMAWASILIANO: 0713327106/0756673327ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI MAKER: FORDMODEL: FORD EXPEDITION V8YoM: 2000CC:...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JULAI 12,2014
KUSOMA MAGAZETI MENGINE BOFYA HAPA Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAARIFA YA POLISI KUHUSU MOTO ULIOTEKETEZA VIBANDA 63 VYA WAJASIRIAMALI ENEO...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi Mwandamizi DAVID A. MISIME – SACPNa. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.Moto mkubwa umetokea katika eneo la Jamatini Manispaa ya Dodoma na...
View ArticleWAZIRI NYALANDU AMWAGA MSAADA WA MILIONI 10 WA MABATI 420 SHULE ZA SEKONDARI...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Iddy Mnyampanda akizungumza shule ya sekondari Kinyeto.Diwani wa Kata ya Kinyeto, Francisco Ng’eni akizungumza kwenye shule ya sekondari Kinyeto wakati...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI JULAI 13 2014
KUSOMA MAGAZETI MENGINE BOFYA HAPA Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU JULAI 14,2014
SOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWANASAYANSI: KUVUTA HARUFU YA ‘HEWA CHAFU YA BINADAMU’ (FART) INAWEZA...
Utafiti uliofanywa na wanasayansi wa chuo cha Exeter umeonesha kuwa, kuvuta ‘harufu ya hewa chafu ya binadamu’ (fart) inaweza kusaidia kuzuia kansa na magonjwa ya moyo.Katika taarifa ya utafiti huo,...
View ArticleDR. DRE AIZAWADIA TIMU YA UJERUMANI HEADPHONES 24 ZA DHAHABU (24 CARAT GOLD...
Rapper, producer na mwanzilishi wa Beats Electronics, Dr. Dre ni miongoni mwa mashabiki wa timu ya taifa ya Ujerumani iliyotwaa kombe la FIFA la dunia jana (July 13) nchini Brazil.Kutokana na ushindi...
View ArticlePICHA; WATU WAWILI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA BAADA KUFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI...
Zaidi ya watu wawili wanadhaniwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa miamba kwa ajili ya uchongaji wa tofari. Tayari mpaka sasa mwili wa mtu...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE JULAI 15,2014
BOFYA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA: AJALI YATOKEA MKOANI ARUSHA NA KUUA WATU WATATU
Gari aina ya Range Rover lenye likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na gari dogo.ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINIGari dogo aina ya Toyota Corolla lilikiwa...
View ArticleBREAKING NEWS: MADUKA YANAUNGUA MUDA HUU MWANANYAMALA JIJINI DAR
Moshi mkubwa ukiwa umetanda juu baada ya maduka kuungua. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika.Habari na picha zaidi endelea kutufuatilia Picha na Fredy Tony wa Blog za MikoaPata habari motomoto...
View Article