Mkurugenzi wa umoja wa Club za waandishi wa habari Tanzania (UTPC) Abubabari Karsan akifafanua mambo mbalimbali mbele ya wanachama wa Centrol Press Club (CPC) wakati wa mkutano mkuu maarumu wa wanahabari hao ulioshawishiwa na wanachama.
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha waandishi wa Habari mkoa wa Dodoma (CPC) Israel Mgusi akisoma tamko la kamati ya utendaji kujihuzuru ambapo hata hivyo wanakamati wengine waliikataa kutokana na kubadili maamuzi yao na hivyo katibu huyo kujihuzuru pamoja na mjumbe Joel Mjengi.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Ofisa Mipango wa Umoja wa Club za waandishi wa Habari nchini (UTPC) Victor Maleko akiwa ameshika Box la Video Camera Mpya aina ya Canon Xa 10 ambalo lilikuwa halina kitu na Camera hiyo kutojulikana ilipo kwenye ofisi ya waandishi wa habari Dodoma mara baada ya Mkutano mkuu maarum.
Waandishi wa habari Mkoa wa Dodoma wakIshuhudia ukaguzi wa vifaa uliokuwa ukifanywa na wajumbe wa tume ya ufuatilaji iliyoundwa na mkutano mkuu maarum chini ya maofisa wa UTPC katika ofisi zao zilizopo katika ofisi za zamani za mkuu wa mkoa ambapo hata hivyo iligundulika kutokuwepo vifaa kadhaa bila kujulikana vilipo.