Ndege ya Shirika la ndege ya Malaysia yenye namba MH17 imeanguka mpakani mwa Ukraine ya Urusi ikitokea Uholanzi kwenye uwanja wa Amsterdam. Ndege hiyo imeua abiria wote 295 waliokuwa kwenye ndege hiyo iliyokuwa inaelekea jijini Kuala Lumpar nchini Malaysia.
Picha inayoonyesha moshi mkubwa baada ya ndege hiyo kuanguka katika mpaka wa Ukraine na Urusi.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KBOFYA HAPA CHINI
Taarifa za awali zinasema kuwa ndege hiyo inawezekana kuwa imetunguliwa lakini bado haijajulikana nani waliohusika na tukio hilo.
Video ambayo ilichukuliwa wakati ndege hiyo ikiwa inaanguka