Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

NGOMA AFRICA BAND AKA FFU KUTUMBUIZA 5TH INTERN.AFRICAN FESTIVAL TUBINGEN

$
0
0

Tubingen,Ujerumani,
Washabiki na wadau wa muziki nchini ujerumani wanatarajia kujimwaga katika maonyesho ya 5th International African Festival Tubingen 2014,Ujerumani, yanayoanza wiki hii 17.Julai 2014 hadi 20.Julai.2014
ambako bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band inatarajiwa kutumbuiza Usiku wa jumamosi katika maonyesho hayo.
Bendi hiyo  inayoongozwa na kamanda Ras Makunja,ni bendi yenye mazoea
ya kuwatia kiwewe washabiki kila wanapo tumbuiza.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>