Mashabiki wa soka nchini Ujerumani wamejitokeza mjini Berlin kuwalaki wachezaji wa timu ya taifa walioshinda Kombe la Dunia. Sherehe kubwa zimefanyika katika eneo la Brandenburg Gate, ambapo wachezaji wameonesha kombe waliloshinda kwenye jukwaa, huku wakiserebuka.
Watu wengi walikusanyika tangu alfajiri kuwakaribisha wachezaji hao waliowasili Jumanne asubuhi. Maelfu ya watu pia walijipanga pembezoni mwa barabara. Hili ni kombe la nne la dunia kwa Ujermani kushinda,la tatu ilichugua mwaka 1990.
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI