ALICHOKISEMA MH. ZITTO KABWE JUU YA MKATABA WA GESI WA STATOIL NA TANZANIA
Swali kwa TPDC: Kwanini Makubaliano ni tofauti na Mkataba Elekezi (Model PSA)?Baada ya kuvuja kwa Mkataba wa kutafuta na kuzalisha Gesi Asilia (PSA) kati ya Serikali kupitia TPDC na Kampuni ya Norway...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA JULAI 18, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticleWAZIRI NYALANDU AKUTANA NA BALOZI WA HESHIMA MHE. AHMED ISSA, BEVERLY HILLS,...
Balozi wa heshima Mhe. Ahmed Issa akifanya mazungumuzo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu Beverly Hills California mapama jana mazungumuzo yaliyohusu kutangaza Utalii wa Tanzana...
View ArticleWAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge...
View ArticleSHABIKI WA SKYLIGHT BAND AWADATISHA JONIKO FLOWER NA ANETH KUSHABA KWA...
Vijana wa JembeniJembe wa Skylight Band wakitikisa jukwaa kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.Digna Mbepera, Mary Lucos na Sony...
View ArticlePICHA: NDEGE YA MALAYSIA YADAIWA KUSHAMBULIWA NCHINI UKRAINE
Maafisa nchini Ukraine wanasema kuwa ndege ya abiria iliyoanguka nchini humo ilidunguliwa katika eneo la mashariki mwa taifa hilo ambako waasi wanaoiunga mkono Urusi wamekuwa wakipigana na vikosi vya...
View ArticleDUNIA YAADHIMISHA MANDELA DAY YA KWANZA TANGU KIFO CHAKE
Watu duniani kote Ijumaa hii wanasherehekea, “Mandela Day” ikiwa ni ya kwanza tangu rais huyo wa kwanza wa Afrika Kusini afariki dunia. Kama angekuwa hai, leo angetimiza umri wa miaka 96.Kwa miaka...
View ArticleZITAMBUE SABABU ZA WANAUME KUOTA MATITI
Kitaalamu, tatizo hilo hujulikana kama, gynecomastia nalo ni kukua kuliko kawaida kwa tishu ya kwenye titi inayojulikana kamaglandular tissue.Ni nadra kujitokeza, lakini kwa siku za karibuni baadhi ya...
View ArticleUBALOZI WA AFRIKA YA KUSINI NA UMOJA WA MATAIFA (UN) WAADHIMISHA SIKU YA...
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Joyce Mends-Cole akizungumza na baadhi ya wadau waliohudhuria katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Nelson...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JULAI 19, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleVIONGOZI WA CHADEMA MKOANI KIGOMA WAJIUNGA NA ACT
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jafari Kasisiko (katikati) Katibu wa Mkoa CHADEMA, Msafiri Wamalwa (kushoto), Katibu wa BAWATA Bi. Malunga Simba wakiwa...
View ArticleMAMA MZAZI WA CRISTIANO RONALDO ADAI ALITAKA KUFANYA ABORTION WAKATI AKIWA NA...
Mama yake na Ronaldo akifuta machoziKama Mungu angekuwa na mpango tofauti, leo hii kusingekuwa na mchezaji nyota wa soka aitwaye Cristiano Ronaldo.Mama mzazi wa mchezaji huyo wa Real Madrid na timu ya...
View ArticleJUMUIYA YA WATANZANIA WALIOSOMA KOREA (KOICA/KAAT) YAPATA UONGOZI MPYA
Rais Mpya wa Jumuiya ya Watanzania waliosoma Korea (KAAT), Bw. Stephen Katemba (Kulia) akizungumza mara baada ya kuchaguliwa. Anayemsikiliza ni Mwakilishi Mkazi wa KOICA, Bw. Seung-Beom Kim (Kushoto)....
View ArticleFIFA YAIONDOLEA NIGERIA MARUFUKU ILIYOIWEKEA MWEZI HUU
Shirikisho la soka duniani FIFA limeondoa marufuku lililoiwekea Nigeria isishiriki mashindano yoyote ya kimataifa.Shirikisho hilo lilikuwa limeipiga marufuku Nigeria kutoshiriki katika michuano yoyote...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA DARAJA LA RUHEKEI LINALOUNGANISHA WILAYA YA MBINGA NA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katikati akifurahia kikundi cha Ngoma cha mkoa wa Ruvuma katika sherehe ya uzinduzi wa Daraja la Ruhekei lililopo katika barabara Mbinga –Mbamba bay mkoani Ruvuma. Rais...
View ArticleTAARIFA YA CHADEMA KUTOKA KIGOMA KASKAZINI KUHUSU KUHAMA KWA VIONGOZI WA MKOA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Kigoma Kaskazini tunapenda kutoa taarifa kwa umma kutokana na sintofahamu inayotaka kulazimishwa mbele ya jamii kuhusu uimara wa chama chetu mkoani...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI JULAI 20, 2014
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleHOFU YATANDA KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS, HUKU...
Baadhi ya washiriki wa Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakiwa mbele ya Majaji tayari kwa kupewa maoni yao na hatimaye kutaja watakaotoka chomwa na jua la utosi kwa Wiki hii. Kutoka...
View ArticleTAPELI LILILOJIDAI KISHOKA WA TANESCO LADAKWA LIVE MLIMANI CITY
Pichani juu na chini ni Kishoka wa Tanesco aliyekamatwa Mlimani City. Hapa likiwa chini ya ulinzi na pingu mkononi. ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHININa Mwandishi wetuTAPELI lililokubuhu...
View ArticlePICHA: YALIYOJIRI KWENYE MECHI KATI YA TAIFA STARS NA TIMU YA MSUMBIJI
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Msumbiji katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mbwana...
View Article